GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Huoni kama gardiola anaongoza lig, wiki ijayo mtakipata cha motoo man city oyeeeeMmoja wa Mfanyakazi Mwandamizi kabisa wa Klabu ya Manchester United ametoa Siri ya kwamba kuna dalili zote na za kutosha kuwa Wiki ijaya Kocha ' Mbwatukaji ' na mwenye ' Nyodo, Ujivuni pmoja na Dharau ' nyingi Jose Mourinho anaenda Kutemeshwa Kibarua ( Kufukuzwa Kazi )
Ngoja Mimi GENTAMYCINE nibaki tu na Liverpool FC yangu na kama mwaka huu hatutochukua Ubingwa wa EPL nitaogelea kutoka Bugolora hadi Bwisya chini kwa chini bila ' Kuibuka ' kwenda na kurudi ng'ambo zote.
Source ya taarifa ni BBC Sports.
Nawasilisha.
Zizzou anakuja pale tupumue kidogo maana....
Midfield maestro zinedine zidane"zizzou" fundi.Siku zingine ukijua unataka Kumzungumzia Zinedine Zidane ' Sharti ' Kuu unatakiwa Kwanza uanze na ' Title ' yake ' tukuka ' kabisa ya ' Midfield Maestro Zinedine Zidane ' sawa? Huyu Mtu mwaka 1998 wakati wa Kombe la Dunia huko Ufaransa ndiyo alikuwa akinifanya ' nitoroke ' usiku ' Bwenini ' Shuleni Upili ( Secondary ) huku nikikatiza ' Majaruba ' ya Watu, Kulowana na Mvua, Kukanyaga Nyanya za Watu Usiku hadi kuna Siku nikafumwa na Mmoja wa Walimu wangu na kupewa ' bonge ' la adhabu lakini bado sikuacha kwenda kumuangalia kila Ufaransa yake ilipokuwa inacheza. Ni Mchezaji ambaye ana kila Kitu ambacho ' Play maker ' anatakiwa awe nacho na kikubwa cha ziada ambacho anacho ni kwamba Mpira haumlazimishi Yeye bali Yeye ndiye alikuwa anaulazimisha Mpira jinsi atakavyo huku Mpira nao ukimkubalia na kumwambia ' Shikamoo Fundi Zidane '. Kuna Watu Mwenyezi Mungu kawapa Shani / Tunu zao na ' Midfield Maestro Zinedine Zidane ' ni mmoja wao hakyanani.
Midfield maestro zinedine zidane"zizzou" fundi.
Unaonaje akija pale OT anaweza kufua dafu kama alivyofanya santiago?
Manchester United hawana tabia ya kufukuza makocha Kati Kati ya msimu, hili haliwezekaniMmoja wa Mfanyakazi Mwandamizi kabisa wa Klabu ya Manchester United ametoa Siri ya kwamba kuna dalili zote na za kutosha kuwa Wiki ijaya Kocha ' Mbwatukaji ' na mwenye ' Nyodo, Ujivuni pmoja na Dharau ' nyingi Jose Mourinho anaenda Kutemeshwa Kibarua ( Kufukuzwa Kazi )
Ngoja Mimi GENTAMYCINE nibaki tu na Liverpool FC yangu na kama mwaka huu hatutochukua Ubingwa wa EPL nitaogelea kutoka Bugolora hadi Bwisya chini kwa chini bila ' Kuibuka ' kwenda na kurudi ng'ambo zote.
Source ya taarifa ni BBC Sports.
Nawasilisha.
Lolote linaweza tokea. Kwa hali ilivyo. Mou hana siku nyingi. Ukisha chukiwa na wachezaji, haba members wa bodi. Huna muda mrefu.Manchester United hawana tabia ya kufukuza makocha Kati Kati ya msimu, hili haliwezekani
Lazima aende tu maana hakuna namna. Kila timu anayotoka lizamw awe na ugomvi na wachezaji.Ee Mwenyezi uliye mkuu wa yote na unaesikiliza maombi ya waja wako naomba kwa moyo wa dhati usaidie kunusuru kibarua cha Mourinho kwakuwa nayeye ana familia inayomtegemea.
Naomba hawa wote wanaomuombea Mourinho afukuzwe kazi washindwa kwa Jina la Yesu alie juu. Napinga roho za kinyama na kikatili kama hizo kwakuwa Mourinho nae ni mtu wako uliyemleta duniani na anayopitia ni mipango yako ee Mungu baba.
Amen.
Manchester United hawana tabia ya kufukuza makocha Kati Kati ya msimu, hili haliwezekani