GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mmoja wa Mfanyakazi Mwandamizi kabisa wa Klabu ya Manchester United ametoa Siri ya kwamba kuna dalili zote na za kutosha kuwa Wiki ijaya Kocha ' Mbwatukaji ' na mwenye ' Nyodo, Ujivuni pmoja na Dharau ' nyingi Jose Mourinho anaenda Kutemeshwa Kibarua ( Kufukuzwa Kazi )
Ngoja Mimi GENTAMYCINE nibaki tu na Liverpool FC yangu na kama mwaka huu hatutochukua Ubingwa wa EPL nitaogelea kutoka Bugolora hadi Bwisya chini kwa chini bila ' Kuibuka ' kwenda na kurudi ng'ambo zote.
Source ya taarifa ni BBC Sports.
Nawasilisha.