GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
1. Yanga SC inacheza ligi nyepesi ya Tanzania.
2. Wachezaji wa Yanga SC hawajitumi ipasavyo.
3. Wachezaji wa Yanga SC wameshalewa mafanikio.
4. Upangaji wa kikosi cha Yanga SC ni mbovu sana.
5. Bernard Morrison si Mchezaji wa kuanza, kwani hakabi halafu anacheza kwa vipindi.
6. Simba SC imevuka na ipo mbali sana kimataifa.
7. Wachezaji wa Simba SC wana 'confidence' kubwa ya kucheza michezo ya kimataifa.
8. Kusema kuwa Al Hilal FC ilikuwa ni timu ndogo ni uongo, ila ukweli ni kwamba Yanga SC ilikutana na mfupa mgumu.
9. Usajili wa Beki Lomalisa Yanga SC tumepigwa kwani hana huo Msaada kwa Klabu na anazidiwa mno na Kibwana Shomary.
10. Wachezaji wakubwa ndani ya Yanga SC wanaogopwa na wanalindwa hivyo inaharibu mfumo na morali ya Timu hivyo tabia hii ife kabisa.
Niendelee au niishie hapa?