bulama
JF-Expert Member
- Dec 13, 2012
- 561
- 135
Katika kuhakikisha elimu inapolomoka ili angalau kila anayesoma afanane naye yafuatayo ndo kaagiza watendaji wake wayafanye.
1. Walimu wanafunzi wa diploma na cheti, mwanzoni waliamuliwa mwaka wa pili ndo waende TP na kupewa hela ya siku 21 kwamba ndo watakazo kaa
2. Wanaharakati walipotia mtingisho kwenye kipindi kimoja cha redio kesho yake hela zikapatika na taarifa kutolewa vyuoni kuwa na mwaka wa kwanza nao waende hela hapo zikapatika za siku 48 kwa kila mwalimu mwanafunzi.
3. Cha kusikitisha sasa, taarifa imetoka kuwa wale wa mwaka wa kwanza wakae huko kwa siku 12 zaidi na mwaka wa pili warudi vyuoni.
Kwa wale walimu mtakubaliana na mimi kuwa kufundisha kunahitaji maandalizi ya muda mrefu na mfupi. Sasa kwa hili la mara siku 21mara 48 mpaka sasa 60 kwa mwaka wa 1 hayo maandalizi ya muda mrefu yanafanyika je?
Maandalizi kama haya kweli mtazishangaa 0?:sly: