Ya NEC, ZEC au Jecha si ndiyo haya ya IEBC?

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Hizi ndiyo zile nchi sasa akiziita Trump lile jina letu pendwa. Mola akawalinde ma commissioner hawa waliosimama imara na katiba ya nchi.

Yale yale ya kura pigeni mnakotaka ila washindi tutatangazwa sisi.

IMG_20220828_043034_175.jpg

"Chebukati names top govt officials who wanted to influence Presidential results outcome in favor of Raila » Capital News"

Kumbe wale wanaojinasibu kutokulala usiku kwa ajili yetu, kwa majina yao kutoka walikotoka hupelekaga matokeo yanayotakiwa kutangazwa?

Kwa mwendo huu bila tume hizi kuwekewa ulinzi japo wa ma blackwater, bado sana!
 
Hii ni Wafula Chebukati na tume huru kweli kweli. Sembuse Jecha, Rubuva au Kaijage?" Aaah wapi!
 
Matumizi ya neno "indicate" hapo yananipa ukakasi kumuelewa Chebukati, kwangu mimi kama angesema "they ask me"

Hapo ningemuelewa vizuri zaidi na ningekubaliana na jibu lake kwamba " I told them I could meet them in the presence of all commissioners"

Otherwise, kwangu hilo jibu alilotoa Chebukati ni kama amejihami, anajilinda yeye na yule ampendaye, kwanini?

1. Why haya ameyaleta leo, alikuwa wapi siku zote?

2. Shahidi wake wakati akikutana na hao jamaa walikuwa wakina nani?

Chebukati atulie aiachie mahakama yao iamue hatma ya hiyo kesi, huku kuzungumza kwake jambo lililo nje ya mahakama kwa sasa ni sawa na kuingilia uhuru wa mahakama.
 
brazaj;
Ikiwa hatukujifunza kukataa kwa vitendo, haya yataebdelea. Lazima siku moja tusimame na tuseme kwa vitendo kwamba "sasa basi"
 
Mkuu hapa kila mtu yuko kwenye kujikomboa mwenyewe. Nani atajinasibu kuwa salama au nani anaaminika?

Chebukati anasema "they indicated they had made attempts to reach me .." kumbuka ame engage 26 law firms si za kitoto upande wake. Law firms kila moja husheheni mawakili kadhaa.

Ushahidi kutokea Safaricom na wa ma CCTV huko sasa ndiko kwao. Kumbuka Supreme Court ya Kenya siyo Mahakama kuu ya uhujumu uchumi chini ya akina Siyani au Tiganga.

Chebukati hapa anawaweka watu sawa kwa maana ya Odinga hadharani nayo yalikuwa haya:

Chebukati should be behind bars, says Raila

Ikumbukwe Odinga anawakilishwa na timu ya mawakili nguli 40. Ruto akiwakilishwa na mawakili nguli 60.

Kwa tuhuma hizi za Chebukati tayari mkuu wa polisi ni kama keshabwaga manyanga:

IG Mutyambai goes on medical leave, Deputy IG Noor Gabow takes over indefinitely
 
Matumizi ya neno "indicate" hapo yananipa ukakasi kumuelewa Chebukati, kwangu mimi kama angesema "they ask me"

Hapo ningemuelewa vizuri zaidi na ningekubaliana na jibu lake kwamba " I told them I could meet them in the presence of all commissioners"

Otherwise, kwangu hilo jibu alilotoa Chebukati ni kama amejihami, anajilinda yeye na yule ampendaye, kwanini?

1. Why haya ameyaleta leo, alikuwa wapi siku zote?

2. Shahidi wake wakati akikutana na hao jamaa walikuwa wakina nani?

Chebukati atulie aiachie mahakama yao iamue hatma ya hiyo kesi, huku kuzungumza kwake jambo lililo nje ya mahakama kwa sasa ni sawa na kuingilia uhuru wa mahakama.
Nadhani haya aliyosema yapo kwenye ''submission'' yake kwenda mahakamani kwenye kesi iliyofunguliwa na timu ya Odinga, hivyo timing ya kuyasema ni justifiable. Mengi yatajulika kesi itakaponza kusikilizwa.
Angalia hapa DCI anasema wale watu kutoka Venezuela walikuwa wameingilia system ya uchaguzi:

Hii ni Wafula Chebukati na tume huru kweli kweli. Sembuse Jecha, Rubuva au Kaijage?" Aaah wapi!
Tume za uchaguzi dunia nzima huwa zina mikono ya watu wa pembeni. Hata Trump alilalamikia Radical left wamemuibia kura na kubadili matokeo. China tu ndiko hamna wizi wa kura.
 
Wenyewe wanataka tuamini kuwa suala ni tume huru peke yake. Akili za kina Zitto na kina Mukandara. Bado tuna safari ndefu sana.
 
Mkuu hapa kila mtu yuko kwenye kujikomboa mwenyewe. Nani atajinasibu kuwa salama au nani anaaminika?

Chebukati anasema "they indicated they had made attempts to reach me .." kumbuka ame engage 26 law firms si za kitoto upande wake. Law firms kila moja husheheni mawakili kadhaa.

Ushahidi kutokea Safaricom na wa ma CCTV huko sasa ndiko kwao. Kumbuka Supreme Court ya Kenya siyo Mahakama kuu ya I hukumu uchumi chini ya akina Siyani au Tiganga.

Chebukati hapa anawaweka watu sawa kwa maana ya Odinga hadharani nayo yalikuwa haya:

Chebukati should be behind bars, says Raila

Ikumbukwe Odinga anawakilishwa na timu ya mawakili nguli 40. Tito akiwakilisgwa na mawakili nguli 60.

Kwa tuhuma hizi za Chebukati tayari mkuu wa polisi ni kama keshabwaga manyanga:

IG Mutyambai goes on medical leave, Deputy IG Noor Gabow takes over indefinitely
Nikitazama vizuri hapa naona kama kuna mgogoro/kutoaminiana kati ya Chebukati na Raila, na hii inakuwa mbaya sana kwasababu inaenda kutengeneza matabaka baina ya wale watendaji wa IEBC, ni kama vile wale wajumbe walikuwa na wagombea wao hii kitu inaharibu sifa ya IEBC kutakiwa kuwa chombo huru.
 
Nadhani haya aliyosema yapo kwenye ''submission'' yake kwenda mahakamani kwenye kesi iliyofunguliwa na timu ya Odinga, hivyo timing ya kuyasema ni justifiable. Mengi yatajulika kesi itakaponza kusikilizwa.
Angalia hapa DCI anasema wale watu kutoka Venezuela walikuwa wameingilia system ya uchaguzi:

Nimesoma hiyo link naona Raila nae analalamikia hao Venezuelans kuingilia uchaguzi, hapa bado naona kuna ushindani usio wa lazima utakaoenda kuamuliwa mahakamani tu, kuziamini hizi pande mbili kwa sasa ni kudanganyana, kila upande utakuja na lake.
 
Matumizi ya neno "indicate" hapo yananipa ukakasi kumuelewa Chebukati, kwangu mimi kama angesema "they ask me"

Hapo ningemuelewa vizuri zaidi na ningekubaliana na jibu lake kwamba " I told them I could meet them in the presence of all commissioners"

Otherwise, kwangu hilo jibu alilotoa Chebukati ni kama amejihami, anajilinda yeye na yule ampendaye, kwanini?

1. Why haya ameyaleta leo, alikuwa wapi siku zote?

2. Shahidi wake wakati akikutana na hao jamaa walikuwa wakina nani?

Chebukati atulie aiachie mahakama yao iamue hatma ya hiyo kesi, huku kuzungumza kwake jambo lililo nje ya mahakama kwa sasa ni sawa na kuingilia uhuru wa mahakama.
Nani kasema hayo hayapo kwenye ushahidi wake aliowasilisha mahakamani? Haya yanaashiria kuwa Kenya imepiga hatua kubwa kidemokrasia. Hizi sarakasi zinaonyesha ni za watu wachache sana walevi wa madaraka wala siyo ya taasisi.
 
brazaj;
Ikiwa hatukujifunza kukataa kwa vitendo, haya yataebdelea. Lazima siku moja tusimame na tuseme kwa vitendo kwamba "sasa basi"

Ndiyo maana wanasema bila aibu kuwa watatawala kwa miaka 100.

Tunapaswa kuanza na viongozi wetu. Kiongozi asiye na mwelekeo wa kuchukua hatua kwa vitendo hatufai.

Muda wa mapinduzi vyamani ni sasa

Tusilaumiane: Wako wapi kina Nyerere, Maalim Seif, Mtikila, Julius Malema au kina Tutu

Hawa watawala hawana dini, undugu, wala hofu ya Mola. Wao ni walamba asali.
 
Hakuna uchaguzi,wajamaa hawanaga uchaguzi..kule ni kujikosha tu
Basi umeshaelewa. Wao hawapendi unafiki ndiyo maana wanafanya wanayofanya. Huku mnaambiwa kuna uchaguzi huru na wa haki kumbe watu wana matokeo ya wanaowataka mfukoni.

Bora kuwa kama Wachina au Korea kwa Kim
 
Back
Top Bottom