Hapo ningemuelewa vizuri zaidi na ningekubaliana na jibu lake kwamba " I told them I could meet them in the presence of all commissioners"
Otherwise, kwangu hilo jibu alilotoa Chebukati ni kama amejihami, anajilinda yeye na yule ampendaye, kwanini?
1. Why haya ameyaleta leo, alikuwa wapi siku zote?
2. Shahidi wake wakati akikutana na hao jamaa walikuwa wakina nani?
Chebukati atulie aiachie mahakama yao iamue hatma ya hiyo kesi, huku kuzungumza kwake jambo lililo nje ya mahakama kwa sasa ni sawa na kuingilia uhuru wa mahakama.
Nadhani haya aliyosema yapo kwenye ''submission'' yake kwenda mahakamani kwenye kesi iliyofunguliwa na timu ya Odinga, hivyo timing ya kuyasema ni justifiable. Mengi yatajulika kesi itakaponza kusikilizwa.Matumizi ya neno "indicate" hapo yananipa ukakasi kumuelewa Chebukati, kwangu mimi kama angesema "they ask me"
Hapo ningemuelewa vizuri zaidi na ningekubaliana na jibu lake kwamba " I told them I could meet them in the presence of all commissioners"
Otherwise, kwangu hilo jibu alilotoa Chebukati ni kama amejihami, anajilinda yeye na yule ampendaye, kwanini?
1. Why haya ameyaleta leo, alikuwa wapi siku zote?
2. Shahidi wake wakati akikutana na hao jamaa walikuwa wakina nani?
Chebukati atulie aiachie mahakama yao iamue hatma ya hiyo kesi, huku kuzungumza kwake jambo lililo nje ya mahakama kwa sasa ni sawa na kuingilia uhuru wa mahakama.
Tume za uchaguzi dunia nzima huwa zina mikono ya watu wa pembeni. Hata Trump alilalamikia Radical left wamemuibia kura na kubadili matokeo. China tu ndiko hamna wizi wa kura.Hii ni Wafula Chebukati na tume huru kweli kweli. Sembuse Jecha, Rubuva au Kaijage?" Aaah wapi!
Tume za uchaguzi dunia nzima huwa zina mikono ya watu wa pembeni. Hata Trump alilalamikia Radical left wamemuibia kura na kubadili matokeo. China tu ndiko hamna wizi wa kura.
Nikitazama vizuri hapa naona kama kuna mgogoro/kutoaminiana kati ya Chebukati na Raila, na hii inakuwa mbaya sana kwasababu inaenda kutengeneza matabaka baina ya wale watendaji wa IEBC, ni kama vile wale wajumbe walikuwa na wagombea wao hii kitu inaharibu sifa ya IEBC kutakiwa kuwa chombo huru.Mkuu hapa kila mtu yuko kwenye kujikomboa mwenyewe. Nani atajinasibu kuwa salama au nani anaaminika?
Chebukati anasema "they indicated they had made attempts to reach me .." kumbuka ame engage 26 law firms si za kitoto upande wake. Law firms kila moja husheheni mawakili kadhaa.
Ushahidi kutokea Safaricom na wa ma CCTV huko sasa ndiko kwao. Kumbuka Supreme Court ya Kenya siyo Mahakama kuu ya I hukumu uchumi chini ya akina Siyani au Tiganga.
Chebukati hapa anawaweka watu sawa kwa maana ya Odinga hadharani nayo yalikuwa haya:
Chebukati should be behind bars, says Raila
Ikumbukwe Odinga anawakilishwa na timu ya mawakili nguli 40. Tito akiwakilisgwa na mawakili nguli 60.
Kwa tuhuma hizi za Chebukati tayari mkuu wa polisi ni kama keshabwaga manyanga:
IG Mutyambai goes on medical leave, Deputy IG Noor Gabow takes over indefinitely
Nimesoma hiyo link naona Raila nae analalamikia hao Venezuelans kuingilia uchaguzi, hapa bado naona kuna ushindani usio wa lazima utakaoenda kuamuliwa mahakamani tu, kuziamini hizi pande mbili kwa sasa ni kudanganyana, kila upande utakuja na lake.Nadhani haya aliyosema yapo kwenye ''submission'' yake kwenda mahakamani kwenye kesi iliyofunguliwa na timu ya Odinga, hivyo timing ya kuyasema ni justifiable. Mengi yatajulika kesi itakaponza kusikilizwa.
Angalia hapa DCI anasema wale watu kutoka Venezuela walikuwa wameingilia system ya uchaguzi:
DCI report: Venezuelans infiltrated IEBC systems
Document says tests on gadgets revealed that they could remotely access poll agency.nation.africa
China hakuna uchaguziTume za uchaguzi dunia nzima huwa zina mikono ya watu wa pembeni. Hata Trump alilalamikia Radical left wamemuibia kura na kubadili matokeo. China tu ndiko hamna wizi wa kura.
Uchaguzi upo sema ni waminifu sana ndiyo maana hujawahi sikia kuna mtu kaibiwa kura. Wagombea huwa wanapata 100% ya kura na hajuna anayelalamika.China hakuna uchaguzi
Hakuna uchaguzi,wajamaa hawanaga uchaguzi..kule ni kujikosha tuUchaguzi upo sema ni waminifu sana ndiyo maana hujawahi sikia kuna mtu kaibiwa kura. Wagombea huwa wanapata 100% ya kura na hajuna anayelalamika.
Ila kaa ukijua uchaguzi wa haki utakuwa mbinguni.....
Nani kasema hayo hayapo kwenye ushahidi wake aliowasilisha mahakamani? Haya yanaashiria kuwa Kenya imepiga hatua kubwa kidemokrasia. Hizi sarakasi zinaonyesha ni za watu wachache sana walevi wa madaraka wala siyo ya taasisi.Matumizi ya neno "indicate" hapo yananipa ukakasi kumuelewa Chebukati, kwangu mimi kama angesema "they ask me"
Hapo ningemuelewa vizuri zaidi na ningekubaliana na jibu lake kwamba " I told them I could meet them in the presence of all commissioners"
Otherwise, kwangu hilo jibu alilotoa Chebukati ni kama amejihami, anajilinda yeye na yule ampendaye, kwanini?
1. Why haya ameyaleta leo, alikuwa wapi siku zote?
2. Shahidi wake wakati akikutana na hao jamaa walikuwa wakina nani?
Chebukati atulie aiachie mahakama yao iamue hatma ya hiyo kesi, huku kuzungumza kwake jambo lililo nje ya mahakama kwa sasa ni sawa na kuingilia uhuru wa mahakama.
brazaj;
Ikiwa hatukujifunza kukataa kwa vitendo, haya yataebdelea. Lazima siku moja tusimame na tuseme kwa vitendo kwamba "sasa basi"
Basi umeshaelewa. Wao hawapendi unafiki ndiyo maana wanafanya wanayofanya. Huku mnaambiwa kuna uchaguzi huru na wa haki kumbe watu wana matokeo ya wanaowataka mfukoni.Hakuna uchaguzi,wajamaa hawanaga uchaguzi..kule ni kujikosha tu
Kenya walishakataa kwa vitendo 2007,Leo hayo yanaendelea Kama kawaida.''THIS IS AFRICA''brazaj;
Ikiwa hatukujifunza kukataa kwa vitendo, haya yataebdelea. Lazima siku moja tusimame na tuseme kwa vitendo kwamba "sasa basi"