Nikitazama vizuri hapa naona kama kuna mgogoro/kutoaminiana kati ya Chebukati na Raila, na hii inakuwa mbaya sana kwasababu inaenda kutengeneza matabaka baina ya wale watendaji wa IEBC, ni kama vile wale wajumbe walikuwa na wagombea wao hii kitu inaharibu sifa ya IEBC kutakiwa kuwa chombo huru.
China sio kwamba hakuna bali huwezi kuhojiTume za uchaguzi dunia nzima huwa zina mikono ya watu wa pembeni. Hata Trump alilalamikia Radical left wamemuibia kura na kubadili matokeo. China tu ndiko hamna wizi wa kura.
Kenya walishakataa kwa vitendo 2007,Leo hayo yanaendelea Kama kawaida.''THIS IS AFRICA''
Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Nimesoma hiyo link naona Raila nae analalamikia hao Venezuelans kuingilia uchaguzi, hapa bado naona kuna ushindani usio wa lazima utakaoenda kuamuliwa mahakamani tu, kuziamini hizi pande mbili kwa sasa ni kudanganyana, kila upande utakuja na lake.
Haya unayoleta wewe ni mapenzi kwa Mtu wako. Yeye ndo aliyefuatwa sirini. Kwa Mtu mwenye dhamana kubwa kama ile ulitaka atoke kesho yake atangaze, "watu wa state wamenifuata usiku tuongee kuhusu tallying". Huku ikijulikana state iko na nani?Matumizi ya neno "indicate" hapo yananipa ukakasi kumuelewa Chebukati, kwangu mimi kama angesema "they ask me"
Hapo ningemuelewa vizuri zaidi na ningekubaliana na jibu lake kwamba " I told them I could meet them in the presence of all commissioners"
Otherwise, kwangu hilo jibu alilotoa Chebukati ni kama amejihami, anajilinda yeye na yule ampendaye, kwanini?
1. Why haya ameyaleta leo, alikuwa wapi siku zote?
2. Shahidi wake wakati akikutana na hao jamaa walikuwa wakina nani?
Chebukati atulie aiachie mahakama yao iamue hatma ya hiyo kesi, huku kuzungumza kwake jambo lililo nje ya mahakama kwa sasa ni sawa na kuingilia uhuru wa mahakama.
China ni Tanzania ya mashariki ya mbali. Tume inaweza kukupa kura ukiziweka kwenye asilimia inatoka 116%.Tume za uchaguzi dunia nzima huwa zina mikono ya watu wa pembeni. Hata Trump alilalamikia Radical left wamemuibia kura na kubadili matokeo. China tu ndiko hamna wizi wa kura.
Huu mgogoro una faida kubwa kwa Kenya kwa sababu ya nature yao ya kutumia migogoro kama fursa. Baada ya hapa watakaa na watatoka na kitu real.Nikitazama vizuri hapa naona kama kuna mgogoro/kutoaminiana kati ya Chebukati na Raila, na hii inakuwa mbaya sana kwasababu inaenda kutengeneza matabaka baina ya wale watendaji wa IEBC, ni kama vile wale wajumbe walikuwa na wagombea wao hii kitu inaharibu sifa ya IEBC kutakiwa kuwa chombo huru.
Huu mgogoro una faida kubwa kwa Kenya kwa sababu ya nature yao ya kutumia migogoro kama fursa. Baada ya hapa watakaa na watatoka na kitu real.
Kuhusu Wavenezuela, ni namna tu ya kuifanya Mahakama itilie shaka matokeo. Watu wanaolalamikiwa walikamatwa na mpaka wakati wa uchaguzi haikuelezwa waliletwa na nani? Kama mwizi amekamatwa kabla ya kuiba, mnamtuhumu vipi baada ya tukio wakati mnaye mahabusu.
Lakini pia hii hali inayotokea Kenya nikiitazama vizuri mwisho wa siku inaweza kuleta machafuko, makundi ya hao commissioners yanaweza kusababisha sintofahamu mwishowe warudie yale ya 2017.Hii si ndiyo maana ya uhuru sasa? Kwamba kama mbwai na iwe mbwai? Kwa uhuru kabisa na kila mtu aeleze alikopeleka mboga.
Hatishiwi mtu hapa!
Umoja wa IEBC wa nini mkuu kama ule ukimya wa ZEC ya Jecha nao ulifuzu kuitwa umoja?
Tabia hizi za kamati za ulinzi na usalama kuja na matokeo yao ya kutangazwa na tume ni lazima zikomeshwe.
Yatokeayo Kenya na yatufungue macho haswa!
Wale jamaa kukaa na kutoka na kitu real naona itategemeana na maamuzi ya mahakama kwenye hii kesi.Huu mgogoro una faida kubwa kwa Kenya kwa sababu ya nature yao ya kutumia migogoro kama fursa. Baada ya hapa watakaa na watatoka na kitu real.
Kuhusu Wavenezuela, ni namna tu ya kuifanya Mahakama itilie shaka matokeo. Watu wanaolalamikiwa walikamatwa na mpaka wakati wa uchaguzi haikuelezwa waliletwa na nani? Kama mwizi amekamatwa kabla ya kuiba, mnamtuhumu vipi baada ya tukio wakati mnaye mahabusu.
Nilivyoona tu matokeo yatatangwazwa baada ya siku saba nikaona utoto uke ule tuHizi ndiyo zile nchi sasa akiziita Trump lile jina letu pendwa. Mola akawalinde ma commissioner hawa waliosimama imara na katiba ya nchi.
Yale yale ya kura pigeni mnakotaka ila washindi tutatangazwa sisi.
View attachment 2336941
"Chebukati names top govt officials who wanted to influence Presidential results outcome in favor of Raila » Capital News"
Kumbe wale wanaojinasibu kutokulala usiku kwa ajili yetu, kwa majina yao kutoka walikotoka hupelekaga matokeo yanayotakiwa kutangazwa?
Kwa mwendo huu bila tume hizi kuwekewa ulinzi japo wa ma blackwater, bado sana!
Kitendo chake kukaa kimya na kuja kuitoa hiyo siri wakati huu pakiwepo na mgogoro kuhusu ushindi wa Ruto hapo ndio ameharibu kabisa.Haya unayoleta wewe ni mapenzi kwa Mtu wako. Yeye ndo aliyefuatwa sirini. Kwa Mtu mwenye dhamana kubwa kama ile ulitaka atoke kesho yake atangaze, "watu wa state wamenifuata usiku tuongee kuhusu tallying". Huku ikijulikana state iko na nani?
Nilivyoona tu matokeo yatatangwazwa baada ya siku saba nikaona utoto uke ule tu
Lakini pia hii hali inayotokea Kenya nikiitazama vizuri mwisho wa siku inaweza kuleta machafuko, makundi ya hao commissioners yanaweza kusababisha sintofahamu mwishowe warudie yale ya 2017.
Hapa kwetu bado tumelala, wajumbe wa tume hawana uwezo wa kuhoji yanayotokea kwenye tume ya uchaguzi, hii ni kwasababu M/kiti wa tume anateuliwa na Rais, nae mwenyekiti anateua wajumbe atakaoona wanamfaa, hawa hawawezi kugeukana.
Tofauti na Kenya, IEBC kuna wajumbe walioteuliwa na Kenyatta, ndio wale wanne waliogoma kukubali matokeo ya uchaguzi, na wakina Chebukati waliopatikana kwa utaratibu mwingine.
Kitendo chake kukaa kimya na kuja kuitoa hiyo siri wakati huu pakiwepo na mgogoro kuhusu ushindi wa Ruto hapo ndio ameharibu kabisa.
Muda wake wa kutoa hiyo siri ulikuwa ni kabla ya uchaguzi kufanyika, hii ingemjengea heshima na kuaminika kwa kiti anachokitumikia, lakini ukimya wake unaonesha Chebukati ni muoga.