Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,921
Lawama zimekuwa nyingi sana juu ya mashabiki waliojitokeza jana taifa, ikidaiwa takribani ya 60% ya watanzania waliofika taifa hawakua mashabiki wa ukweli, wengi walienda kwaajili ya kufwata mkumbo, wengine kuuza tu sura na kupiga picha.
Shabiki gani unalaumu unazibwa wenzio wakiwa wanashangilia?
Shabiki gani unachana mabango ya wenzio kwa kigezo cha kuzibwa?
Shabiki gani unapiga wenzio kwa kigezo cha kusimama?
Shabiki gani unapiga makofi / kushangilia hadi uone goli limefungwa?
Shabiki gani uko bize kupiga picha za vigoma vya wapinzani wakiwa wanashangilia?
Wito wa kamati ya ushindi ilikuwa ni kwenda kupiga kelele mwanzo mwisho na sio kukaa kama unacheki muvi mlimani City
Ikiwa hivi vitu ni vigumu kwako ni heri ukate tiketi jukwaa la vip kama ila sio haya ya mashabiki damu..
Kuna msemo unasema ukienda roma fanya kama wa roma wafanyavyo..
Sent using Unknown device