Uchaguzi 2020 Ya Sonjo na mie kumpigia kura Membe hata kama nitakuwa peke yangu

Kama hamuwezi kutuheshimu sisi Basi heshimuni MB zetu, sio kutuandikia maugoro hapa.

Shubaamit
 
Kweli mkuu!
Hata mimi ntampigia Membe.
Yaani tangiaJPM aingie wauza Ngada tunaishi kwa HOFU sana.
Kituo changu cha kutengeneza vyeti feki pale Buguruni imebidi nikifunge, wateja hakuna kabisa!
Yaani JPM anahangaika na "maendeleo ya vitu" kama kutujengea Bwawa la umeme.
Bwawa la umeme litasaidiaje "maendeleo ya watu" wakati madili ya kutengeneza wafanyakazi hewa anayaua.
Bandarini tulikuwa tuna Bomba letu pale mafuta yanapita tu bila kulipa kodi. hili li JPM likakata bomba letu.
Ebu fikiria sasa hapo "maendeleo ya watu" yatapatikanaje?
2020 twende na Membe!!!!!
 
Tehe tehe umetisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…