Ya SportPesa na Yanga hayatuhusu, Tuhoji Mkataba wa Mo Xtra na Simba

Umemaliza, tuwasubiri vinyoka nyoka "Cesar Manzoki"
 
Hakika mbunge wa singida anachezea kifua chenu wazi wazi,eti na nyie mmenyamaza tu
 
Mkuu juzi tu kwenye mkutano mkuu wa klabu Mo kaikopesha Simba bil 3.9. Je unazo hizi taarifa au huna?
Sema Simba inadaiwa jumla ya pesa kiasi gani. Acha kurukaruka. Unatoka kwenye jambo la msingi wakati awali ulidai zaidi ya 20b.

Unaleta mambo ya ya juzi
 


Brand kubwa kwenye nn?

Simba na yanga kwenye social media ni kama Madrid au psg nenda kwenye uhalisia ndio utashangaa

Unahoji mkataba wa 150, why usihoji why wanachama hamnunui hisa 51% ?
 
Nilichogundua hii nchi ina watu wengi maskini halafu wana wivu, wajuaji wasiojitambua.

Umesema vyema lakini yatakuja kukubishia yakiwa hayana hata facts
 
YANGA ANAKUNJA 1.5B , anakula bonasi za sportpesa huko CAF, anauza jezi za Haier huku makolo wakizipromo bila kujijua na mashabiki wa Yanga watasimama na timu yao, Yanga anarejea ligi anavaa Sportpesa,

Haya yote yatapita !!... Na maisha yataendelea.

Hingera Injinia na endelea kuitafuti klabu pesa.
VISIT TANZANIA , Wizara itoe pesa hata begani watawekwa kama pale Arsenal(visit rwanda) kama hawana mpunga wakae pembeni kwani hawalipi mishahara wala kutusajilia.

YANGA KUBWA KULIKO SPORTPESA
 
Kama mchango wetu wenyewe ndo huu wa milion 17 kwa mwaka sawa na milion 85 kwa miaka 5 mimi hata ujasiri wa kuhoji sina kabisa najua MO huyohuyo anaweka pesa nyingi mno kwa mlango mwingine.

Mungu ambariki zaidi na apate faida zaidi maana bila yeye timu hii ingekuwa ovyo tu.
 
Hoji mwenyewe.

Unataka uhoji na nani?

Kwanza unaanzaje kuhoji mkataba halisi hauna. Hawa Utopolo wapumbav sana wanapenda kudandia asiyowahusu
Huyu eng.Hersi mechi 6 bilion 1.5.Mangungu & Barbara MO extra mech 50+ milioni 150.
Mama Samia akimaliza muda wake tumpe nchi huyu mzalendo
 
Huyu eng.Hersi mechi 6 bilion 1.5.Mangungu & Barbara MO extra mech 50+ milioni 150.
Mama Samia akimaliza muda wake tumpe nchi huyu mzalendo
Malizaneni kwanza na Sportpesa na Fei. Huyu anaweza kuongoza wananch wajinga wajinga tu wanaoishi jangwani, lakini sio wananchi wa Tanzania. Ni aher tukamfufue Chifu Mangungo wa Msowero amrithi Samia kuliko huyu Injinia feki anaesaini mikataba ya hovyo huku akijua anafanya nini. Huyu tukimpa nchi atasaini mikataba ya hovyo na atauza hadi vyura wa Kihansi sembuse wa vidimbwi vya jangwani.
 
Unajipendekeza sana Simba wewe Babu utopolo...
Simba kila kitu kiko wazi anaetaka afike msimbazi akajionee...
 
Aisee sasa ilikuwaje tukatae mil 100 za gsm kukaa begani kama Mo Xtra yupo kifuani Kwa mil 150??
Gsm akikaa kwenye bega la Yanga haitoshi!? Afterall ule ni mkataba wa TFF na Gsm, Simba waliukataa kwa kuwa wao hawakushirikishwa kabla haujasainiwa.
 
Gsm akikaa kwenye bega la Yanga haitoshi!? Afterall ule ni mkataba wa TFF na Gsm, Simba waliukataa kwa kuwa wao hawakushirikishwa kabla haujasainiwa.
Kwaio mkajiona wajanja kukataa mil 100 za gsm begani ilamkaona muweke Mo Xtra kifua Kwa mil 150?
 
Unajipendekeza sana Simba wewe Babu utopolo...
Simba kila kitu kiko wazi anaetaka afike msimbazi akajionee...
We ni shabiki maandazi huwezi kuelewa haya mambo[emoji1][emoji1]
 
Yaani Mwamed anaitumia Simba kwa maslahi yake halafu kuna mazuzu yanaona anawasaidia. Hivi Kwa jinsi anavyojitangaza kupitia Simba halafu anatoa eti mil 150? Sasa hizo mil 150 za nini? Wakati hata ela ya kumsajili baleke haitoshi
Hiyo 150 hata Ihefu wasingekubali
 
MO hajaweka pembeni kawawekea mkono kwa nyuma makalioni Mo foundation [emoji112]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…