Ya "Unikome" na Idris yashapita: Rosa Ree kacheza X uchi ngoma yake mpya

wenyewe hizi video wamalekani walishaachaga kushoot hz video muda sana tatizo ushamba umetuzidi tatizo kamera HD zimechelewa kuja ndio maana wanadata wasanii wetu vituko haviwaishi [emoji22]
 
Duh ukikazamishia ukuni haka kadada ukuni mkubwa kama wa ngosha kama mimi lazima kaache hizi mambo

Shida ya wanaume wa dar vibamia had madem nyege zinawapanda kichwan
 

Unadhani hadi sasa hawajauza hizo nafsi zao kwa shetani? Hicho walichofanya hapo ni ushetani mtupu.
 
Kiki za kichoko kufosi kusikika hazifai, zaidi utaonekana mnoko unaji mwambafai...

Ukweli mtupu ni kwamba asilimia kubwa wasanii waliowengi wana nyota ya john sin na mia khalifa, mziki na kuigiza vi movie vyao uchwara wana foji tu
 
Hii video ndio ingekua imetoka WCB 😂😂😂 ingekua gumzo sana na basata wangesha mtia mtu ban,lakini kwa wengine wala hakuna kelele...bongo kitu inaitwa hate,no ugonjwa unahitaji tiba kubwa mnoo
 
Hii ngoma ameshilikishwa na uyo mchizi timmy dat ni mkenya na ndie anakula mzigo wa dada yetu kwa sasa
 
Ndiooo.. Vitamin U nimempata, yani wametiana hadi wanaona kama wanaongezeana vitamin
[emoji23][emoji23][emoji1787] Noma kweli
 
Hivi neno X litaongeza viewers sana
 
Daaah... Hii video inafaa kwa matumizi ya CHAPUTA
 
Dah... Sijaiona..

Ila Kwa Picha hizo. Hawa ni wapenzi.
 
Ukisema hivyo,vipi kakaake Menina au Nandy wa midole?
Hawa watu basi tu,ukiwasema vibaya wanajificha chini ya miavuli ya mama na dada zetu.
Kama ni dadaangu undugu ufe tu.. sio kwa kujidhalilisha kule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…