Ya Yanga fans kupewa dreamliner na Biashara United wachezaji kukosa Ndege

Ng'wanamangilingili

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2015
Posts
5,778
Reaction score
4,859
Maamuzi ya serikali huwa ni ya kutahabanika na kufikirisha sana. Serikali hii hii wakati Biashara United ya Mara akielemewa kwa kukosa nauli na mipango ya logistics kukwama kwenda Libya ambapo alikua mguu mmoja kuingia makundi kombe la shirikisho hili hili ambao Yanga katinga fainali kwani game ya 3 tayari walikua wameshafanya vizuriiii na mwarabu alikua kafa pale Azam Complex goals 3.

Yumkini Biashara United angesaidiwa hata Ndoo Angetwaa na ama angeongoza zaidi points za nchi CAF na kuongeza ushiriki wa teams na kupandisha viwango vya CAF.

Cha kushangaza na kusikitisha serikali hii hii iliwanyima Biashara United usaidizi na imewapa Yanga ndege ya bure tena kwa mashabiki tu wapambe nk na sio team i mean wachezaji. Yaani mwenye uhitaji alipewa kisogo na mwenye uwezo akaongezewa.

Siasa Siyasa Uraia.

Ikulu nendeni mkapongezane hiyo kesho kutwa ila sisi mashabiki wa Biashara United ya Mara mtuombe radhi na msamaha.
 
Yanga na Biashara ni vitu viwili tofauti.

YANGA NI KUBWA sana.

Pia hatua waliyopewa ndege ni Fainali mzee.

Fananisha Yanga na USM Algiers , siyo vjtakataka
 
Maamuzi ya serikali huwa ni ya kutahabanika na kufikirisha sana. Serikali hii hii wakati Biashara United ya Mara akielemewa kwa kukosa nauli na mipango ya logistics kukwama kwenda Libya ambapo alikua mguu mmoja kuingia makundi kombe la shirikisho hili hili ambao Yanga katinga fainali kwani game ya 3 tayari walikua wameshafanya vizuriiii na mwarabu alikua kafa pale Azam Complex goals 3.

Yumkini Biashara United angesaidiwa hata Ndoo Angetwaa na ama angeongoza zaidi points za nchi CAF na kuongeza ushiriki wa teams na kupandisha viwango vya CAF.

Cha kushangaza na kusikitisha serikali hii hii iliwanyima Biashara United usaidizi na imewapa Yanga ndege ya bure tena kwa mashabiki tu wapambe nk na sio team i mean wachezaji. Yaani mwenye uhitaji alipewa kisogo na mwenye uwezo akaongezewa.

Siasa Siyasa Uraia.

Ikulu nendeni mkapongezane hiyo kesho kutwa ila sisi mashabiki wa Biashara United ya Mara mtuombe radhi na msamaha.
Nimekua shabiki wa Biashara United mda Sasa.
 
Yanga ilikuwa inakwenda kucheza fainali. Hata Mechi za awali, makundi, robo fainali mpaka nusu fainali - Yanga ilikuwa unakwenda yenyewe. Ni Fainali ndio ilipewa ndege. Kwani Biashara nayo ilifika Fainali Mkuu?
 
1900fc73-440f-4c99-9f3c-d7b53724b4ad.jpg
 
Serikali haipendelei mwakani simba ikomae tu ikifika fainali mbona ndege zipo mtapewa tuu ni swala la kukomaa hadi final basii
 
Maamuzi ya serikali huwa ni ya kutahabanika na kufikirisha sana. Serikali hii hii wakati Biashara United ya Mara akielemewa kwa kukosa nauli na mipango ya logistics kukwama kwenda Libya ambapo alikua mguu mmoja kuingia makundi kombe la shirikisho hili hili ambao Yanga katinga fainali kwani game ya 3 tayari walikua wameshafanya vizuriiii na mwarabu alikua kafa pale Azam Complex goals 3.

Yumkini Biashara United angesaidiwa hata Ndoo Angetwaa na ama angeongoza zaidi points za nchi CAF na kuongeza ushiriki wa teams na kupandisha viwango vya CAF.

Cha kushangaza na kusikitisha serikali hii hii iliwanyima Biashara United usaidizi na imewapa Yanga ndege ya bure tena kwa mashabiki tu wapambe nk na sio team i mean wachezaji. Yaani mwenye uhitaji alipewa kisogo na mwenye uwezo akaongezewa.

Siasa Siyasa Uraia.

Ikulu nendeni mkapongezane hiyo kesho kutwa ila sisi mashabiki wa Biashara United ya Mara mtuombe radhi na msamaha.
Mkuu nimefeel ulichoandika nusu nidondoshe chozi afu serikali hiyohiyo inakuja kulaumu utawala wa timu za Yanga na Simba kwenye soko la Tanzania wakati support yote imeelekezwa kwa watani wa Jadi
 
A
Maamuzi ya serikali huwa ni ya kutahabanika na kufikirisha sana. Serikali hii hii wakati Biashara United ya Mara akielemewa kwa kukosa nauli na mipango ya logistics kukwama kwenda Libya ambapo alikua mguu mmoja kuingia makundi kombe la shirikisho hili hili ambao Yanga katinga fainali kwani game ya 3 tayari walikua wameshafanya vizuriiii na mwarabu alikua kafa pale Azam Complex goals 3.

Yumkini Biashara United angesaidiwa hata Ndoo Angetwaa na ama angeongoza zaidi points za nchi CAF na kuongeza ushiriki wa teams na kupandisha viwango vya CAF.

Cha kushangaza na kusikitisha serikali hii hii iliwanyima Biashara United usaidizi na imewapa Yanga ndege ya bure tena kwa mashabiki tu wapambe nk na sio team i mean wachezaji. Yaani mwenye uhitaji alipewa kisogo na mwenye uwezo akaongezewa.

Siasa Siyasa Uraia.

Ikulu nendeni mkapongezane hiyo kesho kutwa ila sisi mashabiki wa Biashara United ya Mara mtuombe radhi na msamaha.
Alie nacho huongezewa.
 
Hangover ya utawala wake hiyo
Comment yako haikuonyesha hivyo
Hata hivyo mwaka huu majimaji nao wamekosa hadi chakula na kushindwa kucheza hapahapa tz, Hakuna aneyewajali sio tff wala serikali
 
Back
Top Bottom