Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Maamuzi ya serikali huwa ni ya kutahabanika na kufikirisha sana. Serikali hii hii wakati Biashara United ya Mara akielemewa kwa kukosa nauli na mipango ya logistics kukwama kwenda Libya ambapo alikua mguu mmoja kuingia makundi kombe la shirikisho hili hili ambao Yanga katinga fainali kwani game ya 3 tayari walikua wameshafanya vizuriiii na mwarabu alikua kafa pale Azam Complex goals 3.
Yumkini Biashara United angesaidiwa hata Ndoo Angetwaa na ama angeongoza zaidi points za nchi CAF na kuongeza ushiriki wa teams na kupandisha viwango vya CAF.
Cha kushangaza na kusikitisha serikali hii hii iliwanyima Biashara United usaidizi na imewapa Yanga ndege ya bure tena kwa mashabiki tu wapambe nk na sio team i mean wachezaji. Yaani mwenye uhitaji alipewa kisogo na mwenye uwezo akaongezewa.
Siasa Siyasa Uraia.
Ikulu nendeni mkapongezane hiyo kesho kutwa ila sisi mashabiki wa Biashara United ya Mara mtuombe radhi na msamaha.