Ya Yanga fans kupewa dreamliner na Biashara United wachezaji kukosa Ndege

hivi kwli huoni tofauti ya kwenda maundi na kwenda fainali?
 
Serikali haipendelei mwakani simba ikomae tu ikifika fainali mbona ndege zipo mtapewa tuu ni swala la kukomaa hadi final basii
Sidhani ila kwa kumbukumbu zangu za mpira simba hajawahi kupewa incetives na gava na hakuna game yake serikali ilishawahi nunua tickets
 
hivi kwli huoni tofauti ya kwenda maundi na kwenda fainali?
Nina imani unamaanisha makundi na sio maundi. Member, ni hivi; kuna tofauti ila kumbuka na elewa kuwa hakuna fainali bila kupitia makundi. Support ni kujenga na sio zimamoto. Kikubwa serikali yetu isupport teams hizi equally hasa changa hizi ili kukuza soka collectively.
 

basi hukupaswa kuuweka huu uzi km malalamiko coz kilichofanya na raisi si kitu rasmi kutoka serikali kwenda kwa klabu,ile ilikuwa km pongezi kwa hatua ile yanga ilipofikia ni km hamasa tu

uzi ungekuwa ni wakushauri serikali kwa ujumla kupitia wizara husika kuziandalia bajeti timu zinazoshiriki michuano ya CAF,lkn ku compare alichopata yanga kutoka serikalini na alichokikosa biashara hai make sense...COZ BIASHARA ALIHITAJI MSAADA KTK MECHI ZOTE AMBAZO ANGESHIRIKI KTK ILE MICHUANO NA SI ILE MECHI MOJA TU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…