Ya Zahera (Yanga) yamehamia kwa Aussems (Simba)

Olmost

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
337
Reaction score
441
Hapa sio kuingilia kazi ya kocha kweli?
 
Ropo ropo

.........Kama anajua timu inatakiwa ipangwe vipi apewe timu afundishe.
 
Mimi Simba lialia, ila huyu msemaji wetu hana akili na hana nidhamu kwenye taaluma za watu.

Hao makocha ambao hawajafungwa tano mbona hawajaifikisha timu robo fainali?!

Ukiondoa Watanzani kupenda β€˜Kuentartain’ mambo ya kijinga,huyu hastahili kuwepo kwenye klabu ambayo inaendeshwa kiueledi na kibiashara.
 
Kama maneno ya Manara ndo haya basi yana baraka za viongozi wake,
Inasikitisha sana
 
Kocha aliondoka na kuandika ujumbe " watu wasio na elimu wamepewa nafasi katika masuala ya mpira, Simba haitaendelea"
 
Mashabiki wa Mikia hawana kumbukumbu kabisa, yani ndio maana Rage aliwaita mambumbumbu, akili zao wanazijua wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…