Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawawezi kuja maana wanajiona kama wanakesi ya kujibuCha ajabu wale watani zangu waliokuwa mbele kubeza kutimuliwa kwa Zahera leo hii wako kimyaa.
Hebu mje muone vioja vyenu huku.
OKW BOBAN SUNZU
Ghazwat
King Ngwaba
Sapta Sapta
Mtoto halali na hela
Sanchez magoli
Nimewatag hapo juu waje kutia neno. 😀Mambumbumbu huwa pekee ndiyo huwa wanamuelewa huyu mzungu wao
😅😅Hawawezi kuja maana wanajiona kama wanakesi ya kujibu
Cha ajabu wale watani zangu waliokuwa mbele kubeza kutimuliwa kwa Zahera leo hii wako kimyaa.
Hebu mje muone vioja vyenu huku.
OKW BOBAN SUNZU
Ghazwat
King Ngwaba
Sapta Sapta
Mtoto halali na hela
Sanchez magoli
Penison
Hawawezi kuja labda ukawavute na winchiNimewatag hapo juu waje kutia neno. 😀
Oooh. Ndio yule kwenye ule uzi mmoja huku jukwaa la sport aliyesemaga hujawahi fika DSM. 😅😅😅Yule sembo siku hizi kaja na id ya picha ya mr liquid
Nahisi itakua ndo yeye 😀Oooh. Ndio yule kwenye ule uzi mmoja huku jukwaa la sport aliyesemaga hujawahi fika DSM. 😅😅😅
Hadi kazini wameomba ruhusa kuwa wana matatizo ya kifamilia.Nimewatag hapo juu waje kutia neno. 😀
Nimewatag hapo juu waje kutia neno. 😀
Kocha aliondoka na kuandika ujumbe " watu wasio na elimu wamepewa nafasi katika masuala ya mpira, Simba haitaendelea"
Kumbe wanajuaga kupiga kelele tu na kwenye mambo ya msingi wanatokomea. 🤣Thubutu wana ubavu huo, huu uzi wanauchungulia tu.