Field Marshall 11
JF-Expert Member
- Nov 28, 2024
- 1,018
- 1,717
Yaliyotokea wiki hii...Mdude alivamiwa na polisi akiwa amelala na mkewe, akapigwa sana bila kosa na kuchukuliwa kupelekwa kusikojulikana. Kwa maelezo ya mkewe, Waliomchukua ni polisi na kutokomea naye, walimpiga kichwani na kitu kizito na akapoteza damu nyingi. Uwezekano wa kupona ni mdogo sana kutokana na damu nyingi alizopoteza. Ni jambo la kusikitisha kuua mtu kwa ajili ya kuandika mtandaoni kama hivi ninavyoandika....Kwanini viongozi wa Tanzania wana uelewa mdogo hivi. Kama hutaki kuwa criticize basi acha kazi za siasa tena katika kipindi hiki cha vyama vingi...Ninyi ni Mungu hata msiwe criticized? Viongozi wa Tanzania wanapata kiburi kwa sababu kwanza wana pesa nyingi za kuiba serikalini, laiti wangejua ni pesa zetu wasingefanya hayo wanayoyafanya! Sisi ndiyo waajiri wao.........pili kuna notion kwamba ukiwa na cheo unaweza kufanya lolote ikiwa na maana upo juu ya sheria, kama wanavyofanya hao CCM na mama yao Samia! Ni jambo la aibu. Huyo mama Samia alishasema kuwa hata mkipiga kura kuchagua chama kingine, wao hawatatoka! Na bila aibu akarudia rudia statement yake, na Bashiru akasema hivyo hivyo.
Nchi yetu imeshakuwa ya ovyo na watu wetu wameshakuwa wa ovyo kupita level ya watu wa Zimbabwe, Watu wanaonewa na hatulalamiki. Huyo Samia anaendelea kuua watanganyika bila sababu, wakati huko Zanzibar watu wanaishi bila matatizo. Huyu mama hafai, muuaji mkubwa na mwenye tabia mbaya.
Kuhusu Zitto, Huyu nae ni mtu asiyeeleweka, msaliti na kundi moja na Samia. ACT-wazalendo haina tofauti na CCM, people have labelled as CCM-B, hilo halina ubishi, ndiyo ni CCM-B kutokana na matendo yao.
Zitto ni Snitch kwani kuna asiyejua? Eti umeenda kwenye kaburi la mama yako? Hiyo inahusiana vipi na hiyo tume mnayoita huru (INEC) ambayo ni ya makada?
Kila kitu ni makada hapo, hamna haki hata kidogo. Nilimsikiliza waziri Bushungwa akisema watu wengi walitaka kwenda kwenye mahakama, halafu akajisahau akasema "wenzetu" kama waziri unawaita wananchi "wenzetu"? Una akili kweli wewe Bushungwa? Nchi hii ni yetu sote, siyo ya Samia, Bushungwa,Majaliwa (mroho wa madaraka, hajatosheka na uwaziri mkuu wa miaka 10, anataka kugombea ubunge tena...shame on you!),na hao mafisadi wenzao wengine