Yaache madaraka yakufuate sio kuyatafuta

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Kuna matukio yanatokea Tanzania yanasikitisha Sana

Katika mazingira ya Tanzania ambaye aliweza kuutafuta urais na akaupata ni Hayati baba wa TAIFA na Rais Kikwete born town the rest hawakutafuta urais na ndio maana hatuna visionary leaders tuna watu wengi waliojaribu kuwa na wakawa.

Madaraka matamu Sana na ukishakaa unakuwa na ujasiri wa kufanya chochote.

Katika mazingira tofauti watu wengi Sana nchi hii wamefariki wakiwa katika harakati za kutafuta madaraka !!!Wengineamekufa katika harakati zao hizo hazijatimia

Watu kama marehemu mzee Kolimba, Samwel Stta, Deo filikunjombe,Malim Seif, walidondoka kabla ya ndoto zao hazijatimia

Harakati za kutafuta madaraka ni ngumu Sana na Zina hatari Sana.

Ushauri watafuta madaraka yaacheni madaraka yawatafute kama yalivyomtafuta Mkapa, Magufuli na na Mh Samia.

Madaraka matamu Sana aise be careful usimwamini kila mtu na kupanga mambo yako acha muda ufike pata kwa uwezo wake baba aliye mbiguni.

Kila mmoja wetu ataonja mauti lakini tuwe makini na mienendo yetu!!!

Naichukia Sana siasa Basi tu!!!
 
Mh acha nipite ,uzi mwepesi ila mzito sana huu
 
Back
Top Bottom