GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Klabu ya Yanga imempatia kiungo wao mshambuliaji, Stephane Aziz Ki na mkewe wake, Hamisa Mobetto Sh50 milioni kama zawadi katika sherehe yao.
Hilo limebainishwa na Mtendaji Mkuu wa Yanga, Andre Mtine wakati wa sherehe ya aga dimba ya Aziz Ki na Hamisa iliyofanyika katika Ukumbi wa Super Dome, Masaki zawadi kwa bwana na bibi harusi.
Naye, Ofisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe amemsisitiza mwanamitindo Hamisa kujua namba za siri za mumewe.
“Nataka kuliweka hili sawa. Hii sio ahadi kiasi cha Sh 50 milioni kimeshaingizwa kwenye akaunti ya Aziz Ki, na Hamisa kitu cha kuzingatia ni kujua 'passwordi' maana pesa tumeshaitoa,” amesema Kamwe.
Chanzo: mwananchi_official
Kwahiyo hii Hela 50M ndiyo kusema katika Mshahara wake mtakuwa mnamkata kidogo kidogo ili mjilipe tu Kiaina au?