vizuri,, zingatia kutumia dose kama ulivyo elekezwa na usiachie njiani endapo kama utapata unafuu,,Upo sahihi nina hizo dalili nilipewa na dawa
Asante! Kumbe hii ni sekta yakovizuri,, zingatia kutumia dose kama ulivyo elekezwa na usiachie njiani endapo kama utapata unafuu,,
kingine ni kunywa maji mingiii, inasaidia kupunguza wadudu kwa njia ya mkojo ile ukiwa unakojoa
pole kwa kuumwa
kidogo😊Asante! Kumbe hii ni sekta yako
Hongerakidogo😊
asante🙏, karibu...Hongera
Win-one ni mbobezi kwenye hii sectorAsante! Kumbe hii ni sekta yako
Mwili unachoka kichwa kinauma nalala tu hovyoWin-one ni mbobezi kwenye hii sector
Huyo ni semeja wangu
Kwahiyo tumpe off tu au unasemaje mke mwenza?Hili sasa tatizo! Nina jambo langu w.end hii.
Siwataki!Au sio! 40 utafika tu wala sio shida!! Kwa sasa shikilia hapo hapo na vijana wenzako😅
ephen_ mi na udactari wapi na wapi boss wangu.Daktari anaposema nina bacteria kwenye damu anakua anamaanisha nini hasa?
Nyafwili Pendaelli Castr Dr am 4 real PhD
Kuna sehemu niliona unazungumzia afya nimesahau ni wewe au nyafwiliephen_ mi na udactari wapi na wapi boss wangu.
Ila bwana damu huwa ni safi haipaswi kuwa na bakteria yoyote, hivyo doctor akikuambia una bacteria kwenye damu ina maana una maambukizi fulani kulingana kipimo cha shida husika, mfano fangasi, jipu, mambukizi ya njia mkojo nk.
Kuna ile inaitwa mchafuko wadamu nayo ni bacteria .
Kwa ufupi damu kuwa na bacteria ni kesi ambayo dactari huichukulia kwa uzito.
Oky pole lakini , natumaini umepata tarifa sahihi kwa watu sahini.Kuna sehemu niliona unazungumzia afya nimesahau ni wewe au nyafwili
"...ama Kuna mkorofi kati yenu aache mara moja..." 🎵🎶Nawahusia vijana fanyeni kazi kwa bidii...🤨
Kwanza kabisa una haki ya kumuuliza daktari wako kuwa ni kipimo gani hicho kimeonyesha bacteria kwenye damu?Daktari anaposema nina bacteria kwenye damu anakua anamaanisha nini hasa?
Nyafwili Pendaelli Castr Dr am 4 real PhD
Hii hali ya kupata homa na maumivu ya viungo imeniandama sana. No U.T.I wala malaria. Inabidi nirudi hospitali nikapate vipimo zaidi.ahaa ni sawa ila hicho kimeegemea kwenye mkojo zaidi,,, itakua walivyopima hiyo dam ndo wamegundua una hiyo shida ulosema Kule juu
mara nyingi wadudu wanaingia kwenye mwili wa binadam kwa njia tofauti sio moja pekeake kama alivyosema 4real na madhara sio makubwa sana endapo utawahi kupima na kupata dawa sahihi ya kuua hao wadudu,, zaidi ni kwamba utakua unapata homa za hapa na pale plus maumivu ya viungo kwasababu kinga ya mwili imeanza kushambuliwa,, ila sio kwamba utakufa au kupata tatizo Zito
sijui kama nitakua nimekujibu au bado bt nimejaribu
Ndio ndio🤣Kwahiyo tumpe off tu au unasemaje mke mwenza?
pole ila sio kila homa ni malaria au U.T.I mda mwingine ni uchovu wa mwili tu sijajua mazingira yako ya kazi na muda unao tumia kukaa kazini, kwahiyo sometimes unaweza kukuta sio ugonjwa ila ni uchovu tu yani mwili unahitaji mapumziko,,,, na pia kingine yawezekana ni mabadiliko ya hali ya hewa yanachangia pia kupata vi homa labda tu mafua, kupandisha joto au ka kikohozi,,, usisahau na matumizi ya maji na vyakula piaHii hali ya kupata homa na maumivu ya viungo imeniandama sana. No U.T.I wala malaria. Inabidi nirudi hospitali nikapate vipimo zaidi.