Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,373
- 6,904
Mtokee Ndotoni
Yaani I wish nipate suluhisho.pole ila sio kila homa ni malaria au U.T.I mda mwingine ni uchovu wa mwili tu sijajua mazingira yako ya kazi na muda unao tumia kukaa kazini, kwahiyo sometimes unaweza kukuta sio ugonjwa ila ni uchovu tu yani mwili unahitaji mapumziko,,,, na pia kingine yawezekana ni mabadiliko ya hali ya hewa yanachangia pia kupata vi homa labda tu mafua, kupandisha joto au ka kikohozi,,, usisahau na matumizi ya maji na vyakula pia
Kwahiyo akiombwa hela, asitoeUkiambiwa kitu fanya opposite yake ba mnyogode 😀
Poa, niulize hata dmNdio
UmefungaPoa, niulize hata dm
Hiyo ni exception mkuuKwahiyo akiombwa hela, asitoe
Imenigomea kukutumia ujumbe. Ila nimefunguaUmefunga