Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,958
- 183,574
Hili sasa tatizo! Nina jambo langu w.end hii.Sasa ndio maana anatangatanga kumbe nawe uko busy! Mshikilie mpaka weekend nikirudiš
Hili sasa tatizo! Nina jambo langu w.end hii.Sasa ndio maana anatangatanga kumbe nawe uko busy! Mshikilie mpaka weekend nikirudiš
Au sio! 40 utafika tu wala sio shida!! Kwa sasa shikilia hapo hapo na vijana wenzakošMimi niko 40s, hapo vipi?š
Ona sasa, napangwa!Hili sasa tatizo! Nina jambo langu w.end hii.
As in kuliweka hapa ni moto?Nina swali pia kuhusu psychotherapy ila ni binafsi
Mzee unasusa. Mama anasusa. Mnasusiana.Umepata la kujifunza kutoka kwangu mimi mzee wenu...??
Unapangwa na nani mkuu?Ona sasa, napangwa!
š š š š šAna haki zote, kuna vitu tunavilinda kwa wivu mkubwa sanaš š š
HahahaNyumbani kwa baba bado mkuu, ila wote tupo njia moja..š¤
Kumbe na wewe NI Team iliyokata tamaa?Mie team kataa ndoa mkuu...š¤£
Mkuu hujamkula vizuriHiyo nafasi nilio acha hapo juu ni kwaajili ya salam...šŗ
Back to the point....
Kwanza alinikasirisha, kisha akakasirika eti kwasababu nimekasirika...š¤
Then nikaona ninyamaze kwasababu hata nikifanya argument siwezi shinda...šāāļø
Then she said "leave me alone" basi nika ondoka, mwisho akakasirika eti kwanini nimemuacha...š
Mwisho nikaona siwezi fanya arguments and decide to keep quiet ili niweze kusurvive....š¤£
NdioAs in kuliweka hapa ni moto?
Na dokta alinielezea hivihivi! Sema sikutaka kuendelea kuuliza sana kuna mgonjwa wa dharula alikua njeView attachment 3645076
kwa kitaalamu huitwa bacteremia.
Kwa kawaida,
Mtoa huduma ya afya ama Daktari anaweza kuagiza blood culture ili kubaini aina ya bakteria waliopo kwenye damu na kuchagua antibiotiki inayofaa....
Bakteria wanaweza kuingia kwenye damu kutoka sehemu mbalimbali za mwili, kwa mfano: UTI, Nimonia, jipu/kudonda, matumizii ya drip na catheter, ma ambukizi ya meno na fizii..
Tusitishane kwenye mambo ya msingi allooo...View attachment 3645076
kwa kitaalamu huitwa bacteremia.
Kwa kawaida,
Mtoa huduma ya afya ama Daktari anaweza kuagiza blood culture ili kubaini aina ya bakteria waliopo kwenye damu na kuchagua antibiotiki inayofaa....
Bakteria wanaweza kuingia kwenye damu kutoka sehemu mbalimbali za mwili, kwa mfano: UTI, Nimonia, jipu/kudonda, matumizii ya drip na catheter, ma ambukizi ya meno na fizii..
hicho ni kipimo cha mkojo kama ilivyo UPT au HIV TESTNa dokta alinielezea hivihivi! Sema sikutaka kuendelea kuuliza sana kuna mgonjwa wa dharula alikua nje
Ina madhara gani?
Mimi nilipima damu na mkojohicho ni kipimo cha mkojo kama ilivyo UPT au HIV TEST
ahaa ni sawa ila hicho kimeegemea kwenye mkojo zaidi,,, itakua walivyopima hiyo dam ndo wamegundua una hiyo shida ulosema Kule juuMimi nilipima damu na mkojo
Upo sahihi nina hizo dalili nilipewa na dawaahaa ni sawa ila hicho kimeegemea kwenye mkojo zaidi,,, itakua walivyopima hiyo dam ndo wamegundua una hiyo shida ulosema Kule juu
mara nyingi wadudu wanaingia kwenye mwili wa binadam kwa njia tofauti sio moja pekeake kama alivyosema 4real na madhara sio makubwa sana endapo utawahi kupima na kupata dawa sahihi ya kuua hao wadudu,, zaidi ni kwamba utakua unapata homa za hapa na pale plus maumivu ya viungo kwasababu kinga ya mwili imeanza kushambuliwa,, ila sio kwamba utakufa au kupata tatizo Zito
sijui kama nitakua nimekujibu au bado bt nimejaribu