Yaani ameni block, ame delete my number alafu analalamika kwamba hatuwasiliani

Yaani ameni block, ame delete my number alafu analalamika kwamba hatuwasiliani

pole ila sio kila homa ni malaria au U.T.I mda mwingine ni uchovu wa mwili tu sijajua mazingira yako ya kazi na muda unao tumia kukaa kazini, kwahiyo sometimes unaweza kukuta sio ugonjwa ila ni uchovu tu yani mwili unahitaji mapumziko,,,, na pia kingine yawezekana ni mabadiliko ya hali ya hewa yanachangia pia kupata vi homa labda tu mafua, kupandisha joto au ka kikohozi,,, usisahau na matumizi ya maji na vyakula pia
Yaani I wish nipate suluhisho.
Barikiwa kwa ushauri mzuri. ❤️
 
Back
Top Bottom