Yaani ameni block, ame delete my number alafu analalamika kwamba hatuwasiliani

Yaani ameni block, ame delete my number alafu analalamika kwamba hatuwasiliani

Hiyo nafasi nilio acha hapo juu ni kwaajili ya salam...🍺
Back to the point....

Kwanza alinikasirisha, kisha akakasirika eti kwasababu nimekasirika...🤗
Then nikaona ninyamaze kwasababu hata nikifanya argument siwezi shinda...🙇‍♂️
Then she said "leave me alone" basi nika ondoka, mwisho akakasirika eti kwanini nimemuacha...😂
Mwisho nikaona siwezi fanya arguments and decide to keep quiet ili niweze kusurvive....🤣

Gen Z anakupelekesha platinum member baba Dickson?😁
 
Unaweza ukawa na umri mkubwa ila ukawa mtoto na unaweza ukawa na umri mdogo ila ukawa mkubwa,

Nafikiri mpaka hapo nimeeleweka ndugu wajumbe,

Au niongeze sauti?
 
Back
Top Bottom