Yaani ameni block, ame delete my number alafu analalamika kwamba hatuwasiliani

Yaani ameni block, ame delete my number alafu analalamika kwamba hatuwasiliani

Sasa babu unajuaje hayo yote wakati huna taarifa yoyote kutuhusu? Mimi sijui kama anakosa ukinitoa hapo! Binafsi napenda wazee kama wewe😎
Sio lazima niwe na taarifa, yaani huu ukuwadi ninaofanya hapa hauna uhusiano wowote na taarifa zenu, usiwe mnyimi😅😅
 
Mwisho kabisa niseme....
Wazee skuizi hatuandiki nyuzi za matukio, bali tunaandika simukizi za mikasa ili vijana mpate kujifunza.
Kuna time gambe likikolea wazee tunakua na vijimaneno na mikasa ya kusimulia ili vijana mpate kuokota machache kabla hatujaweka kalamu chini.
Otherwise, ngoja nichape kazi kwanza wakuu...🤗
 
Back
Top Bottom