Umemchoka kiasi hiki? Si yupo na kazi huko mamkubwa!Kwanini usisafiri nae?
Nliku-miss my SeranUkiambiwa kitu fanya opposite yake ba mnyogode 😀
Unataka kusema juhudi zangu zinagonga mwamba, huyu kijana wa kichaga niaje sasa😅😅😅Weee nami nakutaka!!🙆🏽♀️
Sijui! Namaanisha wewe unaweka maslahi mbeleJamani mahi!!!!! kumaanisha ushi men ana mihelaaa.
Huyu ana options kibao tumuache kwanza!Unataka kusema juhudi zangu zinagonga mwamba, huyu kijana wa kichaga niaje sasa😅😅😅
Mimi ndivyo nilivyo mdogo wangu,,, maslahi ni muhimu sana.Sijui! Namaanisha wewe unaweka maslahi mbele
Binafsi siyo medical personnel. Nitakuongopea nikikujibu, kama umeona nachangia mada za afya ni kwakua ninahusika zaidi na psychotherapy na ishu za takwimu maeneo ya hospitali. So kwa upande huo am empty.Daktari anaposema nina bacteria kwenye damu anakua anamaanisha nini hasa?
Nyafwili Pendaelli Castr Dr am 4 real PhD
MbandueHiyo nafasi nilio acha hapo juu ni kwaajili ya salam...🍺
Back to the point....
Kwanza alinikasirisha, kisha akakasirika eti kwasababu nimekasirika...🤗
Then nikaona ninyamaze kwasababu hata nikifanya argument siwezi shinda...🙇♂️
Then she said "leave me alone" basi nika ondoka, mwisho akakasirika eti kwanini nimemuacha...😂
Mwisho nikaona siwezi fanya arguments and decide to keep quiet ili niweze kusurvive....🤣
Nina swali pia kuhusu psychotherapy ila ni binafsiBinafsi siyo medical personnel. Nitakuongopea nikikujibu, kama umeona nachangia mada za afya ni kwakua ninahusika zaidi na psychotherapy na ishu za takwimu maeneo ya hospitali. So kwa upande huo am empty.
I hope uliowatag watakupa majibu sahihi, pia daktari akiongea kitu usipoelewa usisite kumuuliza.
Wacha kumzibia mtu we binti, options kibao unazijua? Unamfukuza mtu kabla hajaanza? Halafu options kila mtu anazo, hata wewe unazo, ila akija mtu aliyeko tayari unamnyakua tu!Huyu ana options kibao tumuache kwanza!
Shemdarling!!😘Ila Ushimen😄😄😄😄
Wewe bado kidogo tu...Akili zako na Pdidy zitafanana.
Sasa babu unajuaje hayo yote wakati huna taarifa yoyote kutuhusu? Mimi sijui kama anakosa ukinitoa hapo! Binafsi napenda wazee kama wewe😎Wacha kumzibia mtu we binti, options kibao unazijua? Unamfukuza mtu kabla hajaanza? Halafu options kila mtu anazo, hata wewe unazo, ila akija mtu aliyeko tayari unamnyakua tu!
Shikilia hapo hapo mke mwenza.Weee nami nakutaka!!🙆🏽♀️