MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Maombi yangu kwa Mwenyezi Mungu na Mizimu ya Kwetu ni Kuomba tu Simba SC tufungwe ili Safari hii tutoane Roho na Klabu isiwepo tena katika Ramani ya Soka Duniani.
Na taarifa za uhakika nilizonazo ni kwamba Mkude Kaachwa na kama vile anatengwa kwakuwa ni Mtu wa Msimamo na hataki kutoa 10% kwa Kocha Mgunda, Meneja Rweymamu na Kiongozi ( Kigogo ) Mmoja Mwandamizi Simba SC.
Na Mchovu Sawadogo anapangwa Kilazima kwakuwa Watajwa Watatu hapa juu wanakula 10% yake katika Posho na Mshahara huku huyo Kiongozi ( Kigogo ) Mmoja Mwandamizi akiwa amekula almost 30% ya Signing Fee yake na ndiyo huwa analazimisha apangwe na Mkude ( anayemchukia ) asipangwe.
Naitakia kila la Kheri Vipers FC ya Uganda Jumamosi ili iifunge Simba SC yangu na Mgogoro mkubwa utokee Simba SC, tuchapane, tuvunjane, tujeruhiani na ikiwezekana hata tutoane na Roho kabisa kwani inakera na haivumiliki tena.
Hovyo kabisa......!!!!!!