Yaani anaachwa Dar es Salaam Mkude aliye Fiti anaenda Kampala Mchovu Sawadogo?

Wewe kichwa chako kimejaa ugoro

Mkude alipoingia tu mechi ya Raja nilimwambia mtu kuwa leo tunapigwa nyingi. Hawezi kukaba, anadhani defensive midfield kazi yake ni kupiga pasi za kuanzisha mashambulizi
 
Simba sasa hivi wanapapasapapasa tu PA kupita hawapaoni hawajui njia ipo wapi makocha nao wanaombeana njaa maana wanasema adui yako muombee njaa basi shida tupu.
 
Kama sub ya Kanoute bora niende na Sawadogo anayefika kwenye matukio kwa kuchelewa kuliko Mkude anayebaki tu kuwa Shahidi...

Yaani acheze tu kisa anapiga pasi nzuri,,, kama hawezi kulinda backline yake akae tu Dar alinde Ofisi za MO..
 
Mkude sio wa kubaki Simba, makosa makubwa ya Sawadogo ni kukosa utulivu wakati wa kuanzisha mashambulizi, ila Sawadogo anakaba vizuri kabisa. Mkude kukaba hataki, anakimbia kama father fulani hivi.
 
unawazia matakoni
 
Maombi yangu kwa Mwenyezi Mungu na Mizimu ya Kwetu ni Kuomba tu Simba SC tufungwe ili Safari hii tutoane Roho na Klabu isiwepo tena katika Ramani ya Soka Duniani.
Mungu huwa hakubali maombi ya watu wasio na akili timamu, wapumbavu na wasioelewa kinachoendelea duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…