Yaani Anakuletea Nyodo Nawewe Unakubali tu??

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Unapovunjwa moyo wako na mpenzi wako, pamoja
na huzuni zote, ni muhimu kukumbuka kwamba
huyo ni binadamu mwenzako na sio Mungu kiasi
kwamba useme eti bila yeye hauwezi kuishi. Kwani
pumzi unayovuta kakupa yeye? Asikuzengue! Kama
hataki aende zake, nchi ina watu milioni 50 akuringie kwa mujibu wa katiba gani?
 
Wengi wao wanaozinguliwa na wanafedheheka huwa wanasahau kuwa wana thamani kubwa kiasi gani, endapo mtu atajua ana thamani kiasi gani hatokubali kushushwa thamani na mtu yeyote yule
 
Mi nikionaga DEM anataka kuniletea maumivu NYODO nini.. Namuwahi, kabla ya kuniumiza tuu namlia timing....

Namgonga nambanjua nampiga chini kibabe kisha nasepa mbele.....
Namuacha ana galagala....

Hii technique nimekua nikiitumia cku zote, nawashauri mazee nanyie mtumie....
Hutoumia kamwe...

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Hahahaha kumbe tuko weng mkuu.. hii style nmeanza kuitumia toka kpnd iko nabarehee..nkmsomaga Dem kaanza nyodo namuwai kumuacha ili asiniletee uchoko moyoni

Ndio maana hadi Leo maumivu ya mapenzi uwa nayaonea humu humu Tu.Raha Sana kumtym dem..
 
Na kwa kifungu gani??asepe watoto wazuri wapo shwaiinniiii

LAKINI MOYO MOYO BRO...
Moyo mashine kaka,
tunajikaza kisabuni huku tunatoa povu
 
Wengi wao wanaozinguliwa na wanafedheheka huwa wanasahau kuwa wana thamani kubwa kiasi gani, endapo mtu atajua ana thamani kiasi gani hatokubali kushushwa thamani na mtu yeyote yule
Rule 1 of Love, ''love yourself''
 
Aisee hiyo teknik ni safi sanaaa
 
hahhahha,wacha waje
 
Mrproblemsolved
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…