GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Kwa miaka hii Mitatu Rais Samia ameweza Kukusanya Shilingi Trilioni Mbili tena bila ya Kuzikwapua kwa Watu katika Akaunti zao na kutumia Udikteta kuzipata," amesema Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri (TEF) Deodatus Balile alipozungumza na Amka na BBC leo Asubuhi.
Balile wewe leo ni wa Kumfumbia hivi Mafumbo Hayati Magufuli ambaye wakati wa Utawala wake wewe ndiyo ulifaidika naye kwa mengi (achilia mbali kuwasaliti wenzako) kwa Njaa na Unafiki unaokusumbua?
Kuanzia leo hii GENTAMYCINE sitomuamini tena Mwanadamu bali ni bora niwaamini tu Paka na Mbwa ninaowafuga kwakuwa ndiyo wana Upendo, Uaminifu na Urafiki wa kweli kabisa na Mimi.
Nimeumia na Nimesikitika mno tu!