Tegemeeni kumuona Afisa Habari mwana Yanga SC lia lia Hashim Ibwe akizuga Kulia, kulalamikia Mwamuzi na Kuumia kwa Kipigo watakachokipata kutoka kwa Yanga SC leo jioni / usiku huku Moyoni mwake na Rohoni kwake Akifurahia hakuna mfano.
Wale wana Simba SC Wenzangu hapa JamiiForums mnaodhani Azam FC itamfunga Yanga SC leo au hata tu kutoka nayo Sare au Suluhu HAMNA AKILI kabisa.
Tujilaumu kwanini Yanga SC anatuokota kila mara kiasi kwamba sasa Simba SC tumekuwa rasmi ni Wake wa Yanga SC na wakitaka tu tunawapa.