Yaani from nowhere anatuma hii picha na kuuliza "Unaiweza Hii Style?"

Nilivyomuelewa mtoa mada sio kapinga kutongozwa isipokua njia aliyotumia huyo mtu ndo imemkera. Imagin mtu huna mazoea naye ya kimapenzi afu akutumie picha na ujumbe kama huo ni ukosefu wa kinidhamu. Yeye angemtumia tu hela, atume tena, atume tena na tena sidhani km huyu mdada ange kuja hapa kulalamika
 
Sasa mbona unatutukana sisi kama vile tumekutumia pamoja na huyo jamaa yako?

huu mchezo hauhitaji hasira bana wewe dili na huyo jamaa yako isitujumuishe sisi

Halafu nawewe umerudia upumbavu huo huo kwa kututumia huku jf from no where kwahyo nawewe ni MPUMBAVU sasa
 
Kina mama mbona huwaga kimya sana kuchangia kwenye haya mabandiko?
Ama tunavyochangia ndiyo starehe zenu?
 
Nisamehe sitarudia tena, nilipitiwa. Tuendelee na kazi kama zamani.
 
Kosa pekee alilofanya "huyo kaka" ni kukutumia picha ya namna hiyo ilhali hamna mahusiano.
Ungempatia Sana kama ungemjibu kuwa unaiweza. Angeishiwa pozi kisha ungempa za uso.
Anatamani kuwa nawe faraghani ila amejaa woga.
Pole kwa yaliyokukuta maana kama una mtu wako angehisi una mahusiano na huyo jamaa.
Vijana wa kiume kuweni na nidhamu.
 
Pole sana kwa yaliyokuteokea. By the way, ni style gani unaipenda we Ma Mshuza?
 
Dah!!..nimejaribu kuigeuza simu ili nimuone kwa nyuma huyo mdada maana si kwa kukunjwa huko.
 
toka lini mambo ya kugegedana yakawa yakipumbafu....ndio starehe ya dunia. alafu kulikuwa hamna ulazima wakuleta hapa kama wewe unaona hayo mambo ni ya kipumbafu
 
Ingenoga sana kama kama ungeituma ikiwa imegeuka kichwa kiwe huko nyuma na nyuma kuwe mbele
 
Hiyo ni test, ungelegea tuu ungeliwa. [emoji23], wanaume tupo hivyo. Tunatest kisha tunasubiri matokeo. Ila ungeonyesha kufurahia picha ama kutaka kujua zaidi, mai furendiii kingekukuta kitu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuja kumuanika huku JF na picha aliyokutumia sio busara,vinginevyo labda una kiu ya kuanzisha Uzi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…