Yaani from nowhere anatuma hii picha na kuuliza "Unaiweza Hii Style?"

Njoo tuifanyie mazoezi
 
Hiyo shape yako na hii staili inakufaa sana,njoo tuifanyie kazi.Hutojuta Ma mshuza
 
Ma Mshuza

Auditor mjuzi wa Promotion

Heshima kwako. Maana hata tuliokuwa hatujui habari za style hii leo lazima tufanye hila na inda mpaka tui-test.
 
Sasa huyu
Sasa huyu kwenye picha mtoto wa nguluwe?
Baharia kakuuliza unatuletea sisi mauchafu yenu.
We jibu ndio au hapana full stop.
 
[emoji44]


Like somehow you were interested [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaaani jamaa angemtumia staili ingine inaonekana hio ya kutegua nyonga ndio imemuudhi hahahah[emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mama hasira za nini tulia ukunjwe mamaaaaa
 
OK uje huku utachagua mwenyewe
 
Hongera ma mshuza umetetea hali ya mwanamke itabidi nikutatute niwe karibu yako.
 
Km ambavyo wewe ulikosewa heshima na wewe umefanya yaleyale..!

Nadhani jamaa alikuwa sawa ila wewe umetukosea heshima
 
Mimi nakuuliza, je unaiweza hii style....

Sijakosea, nimedhamiria kwakweli
 
Jf raha sana yani nimecheka mpk njaa imeniuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…