Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo tuifanyie mazoeziWanaume wengine sijui wakoje. Huyu kaka nmefahamiana naye kwa mambo ya kazi tu na sikuwa na ukaribu naye wala mazoea. Katika kufahamiana huko kikazi tukawa tume exchange biz cards. Maana mimi nawafanyia auditing kwenye Kampuni yao.
Jana katuma hii picha na kuuliza "unaiweza hii style?" Nliamua kumpigia na kumwuliza anawezaje tuma picha na maneno kama yale kwangu. Akajitetea kuwa alituma kimakosa. Nikamhoji zaidi ametuma two hours ago inakuaje anashindwa kuelewa kuwa amekosea?
Of course nilimwambia asije akakosea tena kutuma mambo ya kipumbavu kama hayo kwenye namba yangu maana nitamchukulia hatua za kinidhamu.akaomba msamaha.
Akina kaka mjiheshimu si kila mwanamke ni wa type hizo... Kaa msome mwanamke kwanza na si kukurupuka tu. By the way hii style ya kutenguana nyonga mnaitaka ya nini?kanunueni midoll ipo so flexible.pumbavu nyie... Mnataka muwakunje watoto wa wenzenu kama wao ni vitendwa kazi.
View attachment 1165256
Sasa huyu kwenye picha mtoto wa nguluwe?Wanaume wengine sijui wakoje. Huyu kaka nmefahamiana naye kwa mambo ya kazi tu na sikuwa na ukaribu naye wala mazoea. Katika kufahamiana huko kikazi tukawa tume exchange biz cards. Maana mimi nawafanyia auditing kwenye Kampuni yao.
Jana katuma hii picha na kuuliza "unaiweza hii style?" Nliamua kumpigia na kumwuliza anawezaje tuma picha na maneno kama yale kwangu. Akajitetea kuwa alituma kimakosa. Nikamhoji zaidi ametuma two hours ago inakuaje anashindwa kuelewa kuwa amekosea?
Of course nilimwambia asije akakosea tena kutuma mambo ya kipumbavu kama hayo kwenye namba yangu maana nitamchukulia hatua za kinidhamu.akaomba msamaha.
Akina kaka mjiheshimu si kila mwanamke ni wa type hizo... Kaa msome mwanamke kwanza na si kukurupuka tu. By the way hii style ya kutenguana nyonga mnaitaka ya nini?kanunueni midoll ipo so flexible.pumbavu nyie... Mnataka muwakunje watoto wa wenzenu kama wao ni vitendwa kazi.
View attachment 1165256
Yaaani jamaa angemtumia staili ingine inaonekana hio ya kutegua nyonga ndio imemuudhi hahahah[emoji1787][emoji1787][emoji44]
Like somehow you were interested [emoji23][emoji23][emoji23]
Nakufananisha broNimecheka sana! Uje nikukunje hiyo ni rahisi! Halafu mambo tumeongelea nje ya JF unayaleta huku iweje? Na usije tena kufanya auditing kwetu.. nitaiodit nyapu yako!
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mama hasira za nini tulia ukunjwe mamaaaaaWanaume wengine sijui wakoje. Huyu kaka nmefahamiana naye kwa mambo ya kazi tu na sikuwa na ukaribu naye wala mazoea. Katika kufahamiana huko kikazi tukawa tume exchange biz cards. Maana mimi nawafanyia auditing kwenye Kampuni yao.
Jana katuma hii picha na kuuliza "unaiweza hii style?" Nliamua kumpigia na kumwuliza anawezaje tuma picha na maneno kama yale kwangu. Akajitetea kuwa alituma kimakosa. Nikamhoji zaidi ametuma two hours ago inakuaje anashindwa kuelewa kuwa amekosea?
Of course nilimwambia asije akakosea tena kutuma mambo ya kipumbavu kama hayo kwenye namba yangu maana nitamchukulia hatua za kinidhamu.akaomba msamaha.
Akina kaka mjiheshimu si kila mwanamke ni wa type hizo... Kaa msome mwanamke kwanza na si kukurupuka tu. By the way hii style ya kutenguana nyonga mnaitaka ya nini?kanunueni midoll ipo so flexible.pumbavu nyie... Mnataka muwakunje watoto wa wenzenu kama wao ni vitendwa kazi.
View attachment 1165256
Ndo mimi mkuu!Nakufananisha bro
Unatafuta huruma tu hapa, ww ni mtu mzima ulicho shindwa kunielewa ni kitu gani sasa??? Jitu zima ovyo kweli sikudhani kama una akili za kitoto namna hii....
Wanaume wengine sijui wakoje. Huyu kaka nmefahamiana naye kwa mambo ya kazi tu na sikuwa na ukaribu naye wala mazoea. Katika kufahamiana huko kikazi tukawa tume exchange biz cards. Maana mimi nawafanyia auditing kwenye Kampuni yao.
Jana katuma hii picha na kuuliza "unaiweza hii style?" Nliamua kumpigia na kumwuliza anawezaje tuma picha na maneno kama yale kwangu. Akajitetea kuwa alituma kimakosa. Nikamhoji zaidi ametuma two hours ago inakuaje anashindwa kuelewa kuwa amekosea?
Of course nilimwambia asije akakosea tena kutuma mambo ya kipumbavu kama hayo kwenye namba yangu maana nitamchukulia hatua za kinidhamu.akaomba msamaha.
Akina kaka mjiheshimu si kila mwanamke ni wa type hizo... Kaa msome mwanamke kwanza na si kukurupuka tu. By the way hii style ya kutenguana nyonga mnaitaka ya nini?kanunueni midoll ipo so flexible.pumbavu nyie... Mnataka muwakunje watoto wa wenzenu kama wao ni vitendwa kazi.
View attachment 1165256
bado sijaona kosa la huyo mtuma picha
tumia busara kuwajibu watu ndg, si unajuwa tunamakuzi tofauti, tuvumiliane ndo dunia.Nyoooooohh.....mkunje dada yako.
Km ambavyo wewe ulikosewa heshima na wewe umefanya yaleyale..!Wanaume wengine sijui wakoje. Huyu kaka nmefahamiana naye kwa mambo ya kazi tu na sikuwa na ukaribu naye wala mazoea. Katika kufahamiana huko kikazi tukawa tume exchange biz cards. Maana mimi nawafanyia auditing kwenye Kampuni yao.
Jana katuma hii picha na kuuliza "unaiweza hii style?" Nliamua kumpigia na kumwuliza anawezaje tuma picha na maneno kama yale kwangu. Akajitetea kuwa alituma kimakosa. Nikamhoji zaidi ametuma two hours ago inakuaje anashindwa kuelewa kuwa amekosea?
Of course nilimwambia asije akakosea tena kutuma mambo ya kipumbavu kama hayo kwenye namba yangu maana nitamchukulia hatua za kinidhamu.akaomba msamaha.
Akina kaka mjiheshimu si kila mwanamke ni wa type hizo... Kaa msome mwanamke kwanza na si kukurupuka tu. By the way hii style ya kutenguana nyonga mnaitaka ya nini?kanunueni midoll ipo so flexible.pumbavu nyie... Mnataka muwakunje watoto wa wenzenu kama wao ni vitendwa kazi.
View attachment 1165256
Wanaume wengine sijui wakoje. Huyu kaka nmefahamiana naye kwa mambo ya kazi tu na sikuwa na ukaribu naye wala mazoea. Katika kufahamiana huko kikazi tukawa tume exchange biz cards. Maana mimi nawafanyia auditing kwenye Kampuni yao.
Jana katuma hii picha na kuuliza "unaiweza hii style?" Nliamua kumpigia na kumwuliza anawezaje tuma picha na maneno kama yale kwangu. Akajitetea kuwa alituma kimakosa. Nikamhoji zaidi ametuma two hours ago inakuaje anashindwa kuelewa kuwa amekosea?
Of course nilimwambia asije akakosea tena kutuma mambo ya kipumbavu kama hayo kwenye namba yangu maana nitamchukulia hatua za kinidhamu.akaomba msamaha.
Akina kaka mjiheshimu si kila mwanamke ni wa type hizo... Kaa msome mwanamke kwanza na si kukurupuka tu. By the way hii style ya kutenguana nyonga mnaitaka ya nini?kanunueni midoll ipo so flexible.pumbavu nyie... Mnataka muwakunje watoto wa wenzenu kama wao ni vitendwa kazi.
View attachment 1165256
Kesho ulete uzi ukiwasifia na jinsi unavyojichekea hovyo kama mwehu kwa wale unaowakubalia.
Wewe ni type ya wanawake wanaotangazaga kutongozwa (wale usiowapenda) kumbe ni malaya wa kawaida kabisa.
Unajifanya una adabu umejuaje kuwa style hiyo imatengua kiuno. Wanawake wa uswazi taabu Sana.