Yaani from nowhere anatuma hii picha na kuuliza "Unaiweza Hii Style?"

Ma Mshuza

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2019
Posts
207
Reaction score
1,122
Wanaume wengine sijui wakoje. Huyu kaka nmefahamiana naye kwa mambo ya kazi tu na sikuwa na ukaribu naye wala mazoea. Katika kufahamiana huko kikazi tukawa tume exchange biz cards. Maana mimi nawafanyia auditing kwenye Kampuni yao.

Jana katuma hii picha na kuuliza "unaiweza hii style?" Nliamua kumpigia na kumwuliza anawezaje tuma picha na maneno kama yale kwangu. Akajitetea kuwa alituma kimakosa. Nikamhoji zaidi ametuma two hours ago inakuaje anashindwa kuelewa kuwa amekosea?

Of course nilimwambia asije akakosea tena kutuma mambo ya kipumbavu kama hayo kwenye namba yangu maana nitamchukulia hatua za kinidhamu.akaomba msamaha.

Akina kaka mjiheshimu si kila mwanamke ni wa type hizo... Kaa msome mwanamke kwanza na si kukurupuka tu. By the way hii style ya kutenguana nyonga mnaitaka ya nini?kanunueni midoll ipo so flexible.pumbavu nyie... Mnataka muwakunje watoto wa wenzenu kama wao ni vitendwa kazi.

Screenshot_20190727-053403~2.png
 
Kesho ulete uzi ukiwasifia na jinsi unavyojichekea hovyo kama mwehu kwa wale unaowakubalia.

Wewe ni type ya wanawake wanaotangazaga kutongozwa (wale usiowapenda) kumbe ni malaya wa kawaida kabisa.

Unajifanya una adabu umejuaje kuwa style hiyo imatengua kiuno. Wanawake wa uswazi taabu Sana.

View attachment 1165256
 
Umesema si kila mwanamke ni wa type hizo...sasa basi tunaomba muandike type zenu usoni ili tukiona tunajua type zenu..

Wewe dada ni kati ya wa dada wasiojitambua na wenye kujidai. Kujiona uko daraja tofauti na wengine. Sasa wewe unataka usitongozwe kwani wewe nani? Vitu kama hivyo ni vya kawaida tu...wenzako huwa wana kaa kimya..halafu tunajiongeza wenyewe.
 
Wewe ndo huyo hapo kwenye avata yako?
 
Kesho ulete uzi ukiwasifia na jinsi unavyojichekea hovyo kama mwehu kwa wale unaowakubalia.

Wewe ni type ya wanawake wanaotangazaga kutongozwa (wale usiowapenda) kumbe ni malaya wa kawaida kabisa.

Unajifanya una adabu umejuaje kuwa style hiyo imatengua kiuno. Wanawake wa uswazi taabu Sana.
Hua wapo hivyo. Mbele ya camera anajifanya hapendi na hajui chochote lakini nyuma ya camera ni fundi kweli kweli.
 
Back
Top Bottom