Wanaume wengine sijui wakoje. Huyu kaka nmefahamiana naye kwa mambo ya kazi tu na sikuwa na ukaribu naye wala mazoea. Katika kufahamiana huko kikazi tukawa tume exchange biz cards. Maana mimi nawafanyia auditing kwenye Kampuni yao.
Jana katuma hii picha na kuuliza "unaiweza hii style?" Nliamua kumpigia na kumwuliza anawezaje tuma picha na maneno kama yale kwangu. Akajitetea kuwa alituma kimakosa. Nikamhoji zaidi ametuma two hours ago inakuaje anashindwa kuelewa kuwa amekosea?
Of course nilimwambia asije akakosea tena kutuma mambo ya kipumbavu kama hayo kwenye namba yangu maana nitamchukulia hatua za kinidhamu.akaomba msamaha.
Akina kaka mjiheshimu si kila mwanamke ni wa type hizo... Kaa msome mwanamke kwanza na si kukurupuka tu. By the way hii style ya kutenguana nyonga mnaitaka ya nini?kanunueni midoll ipo so flexible.pumbavu nyie... Mnataka muwakunje watoto wa wenzenu kama wao ni vitendwa kazi.
View attachment 1165256