Yaani from nowhere anatuma hii picha na kuuliza "Unaiweza Hii Style?"

Hii style ni kabaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaume wengine sijui wakoje. Huyu kaka nmefahamiana naye kwa mambo ya kazi tu na sikuwa na ukaribu naye wala mazoea. Katika kufahamiana huko kikazi tukawa tume exchange biz cards. Maana mimi nawafanyia auditing kwenye Kampuni yao.

Jana katuma hii picha na kuuliza "unaiweza hii style?" Nliamua kumpigia na kumwuliza anawezaje tuma picha na maneno kama yale kwangu. Akajitetea kuwa alituma kimakosa. Nikamhoji zaidi ametuma two hours ago inakuaje anashindwa kuelewa kuwa amekosea?

Of course nilimwambia asije akakosea tena kutuma mambo ya kipumbavu kama hayo kwenye namba yangu maana nitamchukulia hatua za kinidhamu.akaomba msamaha.

Akina kaka mjiheshimu si kila mwanamke ni wa type hizo... Kaa msome mwanamke kwanza na si kukurupuka tu. By the way hii style ya kutenguana nyonga mnaitaka ya nini?kanunueni midoll ipo so flexible.pumbavu nyie... Mnataka muwakunje watoto wa wenzenu kama wao ni vitendwa kazi.

View attachment 1165256
 
Si ungemjibu tu huiwezi au unaweza?

Inaweza kuwa alitaka kujua kama unaweza na sio kwamba anakutana....

Wanawake wengine bhana
 
Wanaume wengine sijui wakoje. Huyu kaka nmefahamiana naye kwa mambo ya kazi tu na sikuwa na ukaribu naye wala mazoea. Katika kufahamiana huko kikazi tukawa tume exchange biz cards. Maana mimi nawafanyia auditing kwenye Kampuni yao.

Jana katuma hii picha na kuuliza "unaiweza hii style?" Nliamua kumpigia na kumwuliza anawezaje tuma picha na maneno kama yale kwangu. Akajitetea kuwa alituma kimakosa. Nikamhoji zaidi ametuma two hours ago inakuaje anashindwa kuelewa kuwa amekosea?

Of course nilimwambia asije akakosea tena kutuma mambo ya kipumbavu kama hayo kwenye namba yangu maana nitamchukulia hatua za kinidhamu.akaomba msamaha.

Akina kaka mjiheshimu si kila mwanamke ni wa type hizo... Kaa msome mwanamke kwanza na si kukurupuka tu. By the way hii style ya kutenguana nyonga mnaitaka ya nini?kanunueni midoll ipo so flexible.pumbavu nyie... Mnataka muwakunje watoto wa wenzenu kama wao ni vitendwa kazi.

View attachment 1165256
Sasa kulikua na haja gan ya kuja kutueleza sisi huku wakati muhusika umeshamwambia ukwel, kwa kupost hii picha unonekana na ww n wale wale tu, unakuja kutujuza pia na ww hiyo style unapenda na unitaman , ungekaa kimya ungekua umefanya jambo la maana kuliko huu upuuzi uliouweka
 
Hahahahahhahaaa looh, hiyo itakuwa inaitwa criss cross style looh.

Kama ni mhudhuriaji wa gym, hiyo style cha mtoto kule unapata mastyle ya kila namna hadi unahisi kipindupindu aahahaahaaa
Ila style za gudume walimu wa gym hawazijui looh aahahahahaa

Just relax and smile, life is too sweet.
 
Wanaume wengine sijui wakoje. Huyu kaka nmefahamiana naye kwa mambo ya kazi tu na sikuwa na ukaribu naye wala mazoea. Katika kufahamiana huko kikazi tukawa tume exchange biz cards. Maana mimi nawafanyia auditing kwenye Kampuni yao.

Jana katuma hii picha na kuuliza "unaiweza hii style?" Nliamua kumpigia na kumwuliza anawezaje tuma picha na maneno kama yale kwangu. Akajitetea kuwa alituma kimakosa. Nikamhoji zaidi ametuma two hours ago inakuaje anashindwa kuelewa kuwa amekosea?

Of course nilimwambia asije akakosea tena kutuma mambo ya kipumbavu kama hayo kwenye namba yangu maana nitamchukulia hatua za kinidhamu.akaomba msamaha.

Akina kaka mjiheshimu si kila mwanamke ni wa type hizo... Kaa msome mwanamke kwanza na si kukurupuka tu. By the way hii style ya kutenguana nyonga mnaitaka ya nini?kanunueni midoll ipo so flexible.pumbavu nyie... Mnataka muwakunje watoto wa wenzenu kama wao ni vitendwa kazi.

View attachment 1165256
Bora yeye aliyeituma kwa kwako wewe mmoja,kuliko wewe uliyeituma kwa maelfu ya watu
 
Maisha hayaitaji kuwa siriazi kiivyo;kwa sisi wenye exposure ulitakiwa umuambie kuwa huwa nampatia mume wangu tu;basi yeye angejua uko occupied;na hapo kila mmoja angekuwa na furaha na maisha yanaendelea.
 
Mbona kama picha ya mazoezi ya viungo!!?? Au macho yangu ya uzee yananidanganya?
 
POLE DADA,

KAMA HUJUI JUA SASA
HUMU KUNA MAELFU YA WANYAMWEZI , SO ONA HAPO JUU WANAVYOPOROMOSHA , MAMBO YAO CHEKI TUU , HAHAHAHAH WENGI WANAO SEMA HAPA NI watombaji so pole sana ......
 
Hugo kwenye avatar ni wewe? Hata kama si wewe maana ya wewe kuweka picha hiyo kama avatar ni kwamba unakubali mienendo ya wanawake wavaa vikuku kama huyo......sasa hiyo picha aliyokutumia kwanini ikushitue? Au unatafuta attentions hapa? Hauna lolote.
 
Si amekuomba msamaha sasa unafuata nini huku km sio kisabengo..
 
Hivi hiyo style hata akikumwagia mbigu zake sizinakufa badala yakutunga mimba. Maana huko nikunyongana kabisa aisee
 
Nmecheka sana. Hiyo style kwa wadada nyepesi tu zipo nyingine nlikuwa nawakunja mpaka akimaliza haelewi aliwezaje.... Miguu inakuja kutana nyuma ya shingo au kisogo

Hahahahahhahaaa looh, hiyo itakuwa inaitwa criss cross style looh.

Kama ni mhudhuriaji wa gym, hiyo style cha mtoto kule unapata mastyle ya kila namna hadi unahisi kipindupindu aahahaahaaa
Ila style za gudume walimu wa gym hawazijui looh aahahahahaa

Just relax and smile, life is too sweet.
 
Nmecheka sana. Hiyo style kwa wadada nyepesi tu zipo nyingine nlikuwa nawakunja mpaka akimaliza haelewi aliwezaje.... Miguu inakuja kutana nyuma ya shingo au kisogo

Guddu una dhambii.... Sasa mwenzio akitenguka na kuwa kiwete jee...!!?? Looh.
Aahahahahahhaaa ati Hata wenyewe hawaelewi waliwezaje aahahahahaa.
 
Huna lolote unajipiga promo tu
Uyo kijana ilibid umjibu ndio au hapana. Watanzania wazito sana kuelewa maswali na ujibuj wake
 
Back
Top Bottom