Yaani hivi tunavyoipromoti JamiiForums hapa tukikuta Zawadi zetu ni zifuatazo nitanuna hadi Kiama

Yaani hivi tunavyoipromoti JamiiForums hapa tukikuta Zawadi zetu ni zifuatazo nitanuna hadi Kiama

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
1. Key holder ya JamiiForums
2. Handbook ya JamiiForums
3. Cello Pen ya JamiiForums
4. Flyer ya JamiiForums
5. Kupiga Picha na Jengo lao zuri na Nembo yao nzuri kisha kupata nao Lunch na Kuondoka
6. Handkerchief ya JamiiForums
7. Sandals (Kandambili) za JamiiForums

Jamani tuandalieni huko Zawadi za maana kabisa na za Kujivunia na Kuringishia Mitaani na hata Duniani.

Zawadi zikiwa mwake mwake (nzuri na kabambe) GENTAMYCINE nitaupigia zaidi Promo huu Mtandao mpaka hata Malaika wa Mbinguni wataujua na Wao wataanza kuwa Members hapa huku Wakitiririka na Kuserereka nasi wakitokea Mbinguni kwa Mungu Baba.

Cc: Kaka, Mentor, Mtani wangu wa Kihaya, Digital Guru / Digital Genius na JamiiForums Founder Maxence Melo
 
Hayo mambo yalishapitwa na wakati. Wangebadili tu nembo yako hapo kutoka expert member kuwa platinum zawadi tosha. Au huko PM unaacha namba hata ya wakala una rushiwa buku 5 imeisha hio
 
1. Key holder ya JamiiForums
2. Handbook ya JamiiForums
3. Cello Pen ya JamiiForums
4. Flyer ya JamiiForums
5. Kupiga Picha na Jengo lao zuri na Nembo yao nzuri kisha kupata nao Lunch na Kuondoka
6. Handkerchief ya JamiiForums
7. Sandals ( Kandambili ) za JamiiForums

Jamani tuandalieni huko Zawadi za maana kabisa na za Kujivunia na Kuringishia Mitaani na hata Duniani.

Zawadi zikiwa mwake mwake ( nzuri na kabambe ) GENTAMYCINE nitaupigia zaidi Promo huu Mtandao mpaka hata Malaika wa Mbinguni wataujua na Wao wataanza kuwa Members hapa huku Wakitiririka na Kuserereka nasi wakitokea Mbinguni kwa Mungu Baba.

Cc: Kaka, Mentor, Mtani wangu wa Kihaya, Digital Guru / Digital Genius na JamiiForums Founder Maxence Melo
Hivi Genta kumbe hata zawadi yenyewe hujui,ila umeanza majigambo yote hayo,ngoja iwe ni 20k,tutakusikia itakavyo lalama😂.Ila P amekuwa mtulivu wakati huu,fujo amewauzia akina Genta.
 
Na Hao mtapata vilevile
JamiiForums1027058937.jpg
 
Kuna Mod mwenzake anamfukizia akiona hii utakula BAN la maisha bila sababu
 
Back
Top Bottom