Yaani hizi chapati nimezivulia kofia

Yaani hizi chapati nimezivulia kofia

Ukande unga mpaka uwache kulia "pichuuuuuu pichuuuuu", endelea kuukanda mpaka uwe haushikani na unapokandia. Ukiubeba kabla kukata madonge unanyanyuka wote mzima mzima.

Jaribu, ulete majibu.

Nimeipenda hii! Mpaka iache kulia pichuuuu pichuuuu!
 
Nasubiria sikati tamaa unga nipime nusu kile kikombe kikubwa cha plastiki afu utanipa vipimo vyake.
Lol nlijishauaje sasa shem wako yupo kitandani anafanya kazi zake mie namuambia "hny am cooking for you the best chapati in the world" lol majanga plus plus nataka wikiendi nizirudie tena mpaka zieleweke

Usikate tamaa mwaya, I was also like you.Ukitaka kujua fanya mazoezi ya kila wiki hakikisha unapika, as I did.Taratibu uta improve.
 
Back
Top Bottom