Yaani hizi chapati nimezivulia kofia

Ukande unga mpaka uwache kulia "pichuuuuuu pichuuuuu", endelea kuukanda mpaka uwe haushikani na unapokandia. Ukiubeba kabla kukata madonge unanyanyuka wote mzima mzima.

Jaribu, ulete majibu.

Nimeipenda hii! Mpaka iache kulia pichuuuu pichuuuu!
 

Usikate tamaa mwaya, I was also like you.Ukitaka kujua fanya mazoezi ya kila wiki hakikisha unapika, as I did.Taratibu uta improve.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…