Killa Cam
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 2,264
- 6,679
Unajua sisi binaadamu shukran zero kabisa kwa anae tufanyia wema. Wengi wetu umaskini unafanya kupunguza imani, sasa unajiona upo kwenye shida tokea mtoto mpaka mtu mzima shida inazidi unaomba mpaka koo inaota fangasi. Hakuna nafuu unamuona Ally Mpemba anakula batwaa na ka Range aahh mamaee🥲 mganga wa chumbe upo wapi nina sister huku kaleta uzi nataka nimfanye kama Maya nile batwaa na mimi yakheee🤣🤣🤣No,nawaombea kila siku wanaadamu wote pasipo ubaguzi,ivo ilikuwa ni siku na muda wa ibada mkuu