Yaani ITV mkutano wote wa CHADEMA la maana kuripoti mliloliona ni kuhusu kuongeza aya kwenye wimbo mengine hamjayaona

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Yaani taarifa ya habari ITV mlichoona cha maana kuripoti kutoka mkutano wa CHADEMA Ni kuhusu kuongeza aya ya tatu kwenye wimbo wa taifa, tena kwa kumuonesha jaji mtungi tu

Mengine yoote hamjaona ya maana bali Hilo moja tu! kweli?
 
Tanzania hakuna uhuru wa vyombo vya habari. Kuna unafiki tu.

JESUS IS LORD!
Sasa si Bora wasingeripoti tu!
hivi kweli content nzima ya mkutano mkuu wa Chadema wameona Cha maana Ni kuongeza aya tu
 
Sasa mlitaka ITV walipoti kitu gani kingine chenye manufaa kwa taifa kutoka kwenye mkutano wa wanyanyembe wa saccos ya Mbowe?
 
Jamani naomba kuuliza (japo hili liko nje ya mada). Mwenye taarifa za Kigogo-2014
 
Yaani taarifa ya habari ITV mlichoona cha maana kuripoti kutoka mkutano wa CHADEMA Ni kuhusu kuongeza aya ya tatu kwenye wimbo wa taifa, tena kwa kumuonesha jaji mtungi tu

Mengine yoote hamjaona ya maana bali Hilo moja tu! kweli?
Principle ya vyombo vya habari dunia nzime.........

”When a dog bites a man, its no news. When a man bites a dog thats BIIG NEWS”
 
Yaani taarifa ya habari ITV mlichoona cha maana kuripoti kutoka mkutano wa CHADEMA Ni kuhusu kuongeza aya ya tatu kwenye wimbo wa taifa, tena kwa kumuonesha jaji mtungi tu

Mengine yoote hamjaona ya maana bali Hilo moja tu! kweli?
Itabidi CHADEMA kama chama kijitahidi kianzishe TV station yake ili kuepusha haya
 
Back
Top Bottom