Yaani jinsi 'alivyonivuruga' halafu kanipa 2000/=, sina hamu!

Yaani jinsi 'alivyonivuruga' halafu kanipa 2000/=, sina hamu!

buku 2 yote iyo,mi ningempa buku tu ya nauli

Mimi ningemwambia anilipe yeye coz energy nyingi nimetumia, unless kama wakati nashughulika yeye anasoma gazeti, ningempa jero!
 
sikila mmoja alikuwa anatoa matamanio hiyo ni sawasawa hakuna aliyetapeliwa
 
Nyinyi mliozoea vya bure msijaribu kwenda Zambia la sivyo utaishia polisi. Watu kule wanalipa VAT, ati. Hata umfukunyue vipi usipolipa mlichopatana utaonja joto ya jiwe.Mapenzi kwao hakuna ila ngono ya kulipwa!
 
Mkuu umeongea vyema,hapa nilipo nawashangaa TRA ,kuna chanzo kikubwa sana cha mapato hapa endapo watatengeneza proposal na kuipeleka bungeni ili ifanywe muswada kisha kuwa sheria kama muswada huo utapitishwa.Tunaweza kujikuta tunaongeza pato la Taifa kwa kiasi kikubwa endapo tutashirikiana na hawa wafanyabiashara kwa kuwawekea mazingira mazuri ya biashara yao ili waweze kufanya biashara kwa uhuru na uwazi zaidi wakilipia kodi biashara yao..
 
Haswaaa! Mradi CAG akague matumizi zisijeishia mifukoni mwa mafisadi!
 
alitakiwa amwambie toka mwanzo kuwa yeye anauza na bei alipaswa kumtajia,sasa ye alitegemea jamaa aote kuwa yeye anataka kulipwa
 
Labda ndo thamani yake! We ukidharau utu wako,na kuamua kujinadi,kilichotokea ni kwamba siku hiyo umepata mteja mchovu,si mteja mbaya...
Na inategemea na muda na mazingira uliyokuwa nayo kama mfanyabiashara..
 
bila pesa penzi litatoka wapi?nipe nikupe ndio mtindo wa kisasa.wapenzi wa kweli ni Adam na hawa tu.
 
kama alikua anataka hela si angesema toka mwanzo..hata hiyo buku 2 ashukuru...
 
The mare ACT ya ku complain ... shows where she is coming from .. she is empty box moving around and she deserve more than what she got!! How can you compare and equate IT with solid cash!!
 
uroda alioupata kwangu ulikua unatosha sana sana ningemuongeza busu kisha alale mbele
 
maskini..wenzie hawakopeshagi siku hizi!!lipia kwanza..toa kitu upate kitu!othwerwise no business..
 
Back
Top Bottom