buku 2 yote iyo,mi ningempa buku tu ya nauli
Dooh katapeliwa...ingekuwa mimi ningebadilisha payment terms to avoid future disappointments, 75% advance payment is must.
Nyinyi mliozoea vya bure msijaribu kwenda Zambia la sivyo utaishia polisi. Watu kule wanalipa VAT, ati. Hata umfukunyue vipi usipolipa mlichopatana utaonja joto ya jiwe.Mapenzi kwao hakuna ila ngono ya kulipwa!
Mkuu umeongea vyema,hapa nilipo nawashangaa TRA ,kuna chanzo kikubwa sana cha mapato hapa endapo watatengeneza proposal na kuipeleka bungeni ili ifanywe muswada kisha kuwa sheria kama muswada huo utapitishwa.Tunaweza kujikuta tunaongeza pato la Taifa kwa kiasi kikubwa endapo tutashirikiana na hawa wafanyabiashara kwa kuwawekea mazingira mazuri ya biashara yao ili waweze kufanya biashara kwa uhuru na uwazi zaidi wakilipia kodi biashara yao..