1Africa54 JF-Expert Member Joined Feb 15, 2025 Posts 464 Reaction score 549 Jul 10, 2025 #1 Yaani kama wewe ni kijana unataka MAENDELEO YA TAIFA LA TANZANIA Ni Bora uingie kwenye siasa pitia CCM leta changes lakini ukasema ulete harakati za no election unachelewa mnoooo
Yaani kama wewe ni kijana unataka MAENDELEO YA TAIFA LA TANZANIA Ni Bora uingie kwenye siasa pitia CCM leta changes lakini ukasema ulete harakati za no election unachelewa mnoooo
R rhoda ryoba Member Joined Apr 19, 2016 Posts 88 Reaction score 168 Jul 10, 2025 #2 Serikali ya CCM ni ya kidikteta hivyo haipo tayari kuachia nchi kwa namna yoyote