Yaani kuna mambo yanatia hasira sana

Yaani kuna mambo yanatia hasira sana

Mnyongeni Mnyonge

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2015
Posts
628
Reaction score
731
Wanajamvi za usiku huu
yaani katika vitu huwa vinaniletea hasira huwa ni kitendo cha mtoa uzi kuleta uzi bila kuwa na viambatanishi vya kusaidia uzi wake ili wazeee wa kushadadia tushadadie kwa uhakika na ushahidi tosha.
kwa mfano

cheki uzi huu

au

au uzi huu

ni moja ya nyuzi nazozikubali kutokana na viambata vyake vilivyoambatanishwa
 
1551299447906.png
 
Hatuwezi kufanana wote mkuu!
Watu wa aina hiyo wapo kwenye jamii yetu, ukiwaelewa unaishi nao kawaida tuu!
 
Ila huyo Sanchi daaah! Nimempitisha kama Queen of Shundu na mimi.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom