Yaani kutusubirisha kote huko mnakuja kutoa thank you kwa mchezaji ambae msimu umeisha akiwa kashaondoka clubuni?

Ngoja awakere zaidi na zaidi kama tangazo la sabuni geisha
 
Nikweli hawakucheza, ila iko wazi chilunda na yule dogo mzanzibari mohamed musa pamoja na kapama waliondolewa kikosini dirisha dogo la usajili, je hukujua hilo?
Sikujua kwakweli
 
Hivi kuna watu bado wanafatilia maigizo ya mwaka robo SC.Biashara ya kuambiwa sijuwi muda gani tuna jambo letu limepitwa na wakati.
 
Wanazingua kila siku tusubiri mtu mmoja moja wanatafuta attention ja kijinga tu.
 
Nilipiga chini Arsenal itakuwa Simba? Sipendagi timu isiyo na vision.Nyie endeleeni kufuatilia upuuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…