Pettymagambo
JF-Expert Member
- Aug 21, 2017
- 1,490
- 8,227
Meddy ally unakera mno.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahio alikuwa anacheza chumbani et?Ww mwenyewe ndo ulikua unajua ameondoka klabuni
Kwani wote waliokuwepo Simba walikua wanacheza?Kwahio alikuwa anacheza chumbani et?
Nikweli hawakucheza, ila iko wazi chilunda na yule dogo mzanzibari mohamed musa pamoja na kapama waliondolewa kikosini dirisha dogo la usajili, je hukujua hilo?Kwani wote waliokuwepo Simba walikua wanacheza?
Ngoja tusubiri saa 11 tena kuna nini.Ngoja awakere zaidi na zaidi kama tangazo la sabuni geisha
Sikujua kwakweliNikweli hawakucheza, ila iko wazi chilunda na yule dogo mzanzibari mohamed musa pamoja na kapama waliondolewa kikosini dirisha dogo la usajili, je hukujua hilo?
Mwambie Yunge mkubwa amroge tu.Meddy ally unakera mno.