MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Wewe ndio wa kufanyiwa case study, huwajui tumbiri na ngedere wakiingia shambani wanafanya nini na wakishakuwa wengine juu ya miti mziki wake upoje.itvtz....Tumeotesha miti mingi, lakini tatizo moja tumekaribisha tumbili na ngedere wakawa wamejaa kule ndio wanawahi kuvuna mahindi yetu kabla hatujavuna, kwa hiyo njaa itakayokuja kule kwetu itatokana na tumbili na ngedere...wanazaliana hawana mpango wa uzazi, wanazaliana hovyo hovyo wamekuwa wengi sana, unakuwa unapika wakuja waningia ndani wanakula" Mhe.Charles Kimei - Mbunge wa Vunjo.
----------------------------------
Ngoja taratibu nianze kufanya Study Ndogo tu kwanini Professional akiingia tu katika Siasa za Tanzania automatically Uelewa wake na Akili zake zinakuwa hazipishani sana na asiyesoma kabisa au aliyeishia Darasa la Saba?
Sikujua kama huyu nae ni empty set kiasi hiki, aibu naona mimiitvtz....Tumeotesha miti mingi, lakini tatizo moja tumekaribisha tumbili na ngedere wakawa wamejaa kule ndio wanawahi kuvuna mahindi yetu kabla hatujavuna, kwa hiyo njaa itakayokuja kule kwetu itatokana na tumbili na ngedere...wanazaliana hawana mpango wa uzazi, wanazaliana hovyo hovyo wamekuwa wengi sana, unakuwa unapika wakuja waningia ndani wanakula" Mhe.Charles Kimei - Mbunge wa Vunjo.
----------------------------------
Ngoja taratibu nianze kufanya Study Ndogo tu kwanini Professional akiingia tu katika Siasa za Tanzania automatically Uelewa wake na Akili zake zinakuwa hazipishani sana na asiyesoma kabisa au aliyeishia Darasa la Saba?
Elezea ni Kwa nini unadhani ni empty set?Sikujua kama huyu nae ni empty set kiasi hiki, aibu naona mimi
Mtetezi wake Mkuu wa huo Upuuzi wake yuko hapa JamiiForums Kiongozi.Kumbe na Tumbili wana mpango wa uzazi ila wanakaidi kama sisi [emoji1]
Kweli ukiingia siasa ongea utumbo wowote utapigiwa makofi
Huyo ilikuwa azomewe ila wenye akili kama zake wamefurahi naona wanawaza waitishe mkutano wa Nyani wote ila wapewe vidonge vya kuzuia mimba
Magufuli ni Nzilankende, Nzilankende maana yake ni uko wa ngedele.Kumbe na Tumbili wana mpango wa uzazi ila wanakaidi kama sisi [emoji1]
Kweli ukiingia siasa ongea utumbo wowote utapigiwa makofi
Huyo ilikuwa azomewe ila wenye akili kama zake wamefurahi naona wanawaza waitishe mkutano wa Nyani wote ila wapewe vidonge vya kuzuia mimba
Badala ujibu hoja unakimbilia Kwa Maghufuli mfu , taabu kabisaMagufuli ni Nzilankende, Nzilankende maana yake ni uko wa ngedele.
Mtu yeyote ambaye ameishi vijijini na kukaa zamu ya kulinda mazao yasiharibiwe na viumbe waharibifu itakuwa amemuelewa vizuri Dr Kimei ameongea nini.
Huna hoja, una vihoja.Badala ujibu hoja unakimbilia Kwa Maghufuli mfu , taabu kabisa
Ni kweli ngedere wana replace watu kule Kilimanjaro taratibu. Kuna kitu inabidi kifanyike haraka la sivyo……:%}*]~><?!Tumeotesha miti mingi, lakini tatizo moja tumekaribisha tumbili na ngedere wakawa wamejaa kule ndio wanawahi kuvuna mahindi yetu kabla hatujavuna, kwa hiyo njaa itakayokuja kule kwetu itatokana na tumbili na ngedere. Wanazaliana hawana mpango wa uzazi, wanazaliana ovyo ovyo wamekuwa wengi sana, unakuwa unapika wakuja waningia ndani wanakula" Mhe.Charles Kimei - Mbunge wa Vunjo.
----------------------------------
Ngoja taratibu nianze kufanya Study Ndogo tu kwanini Professional akiingia tu katika Siasa za Tanzania automatically Uelewa wake na Akili zake zinakuwa hazipishani sana na asiyesoma kabisa au aliyeishia Darasa la Saba.