Yaani leo nimenawa Sanitizer mchanganyiko huko maofisini hadi mwili mzima unanukia Sabuni ya EVA

Yaani leo nimenawa Sanitizer mchanganyiko huko maofisini hadi mwili mzima unanukia Sabuni ya EVA

Walisema pombe ni haramu kuanzia kuitengeneza hadi kuitumia sasa dudia nzima inanawa pombe kama kinga dhidi ya corona hakuna anayesema ni kharamu tena .....kumbe kile kitabu kilichoandika utumie pombe kama dawa hakikukosea?
 
Sa hivi mie navaa gloves,kila baada ya masaa mawili hadi matatu nabadili....nimechoka kunawa kila muda
Hiv ukivaa gloves, ukifika sehem kama benk,hospital, mwendokas etc. Hawakuambii vua unawe?
 
Hiv ukivaa gloves, ukifika sehem kama benk,hospital, mwendokas etc. Hawakuambii vua unawe?

Kwa hospital sijawahi kuona mtu anafika kavaa gloves,lakini sidhani kama hata akifika amevaa ataambiwa avue,labda atatakiwa kutoa muda wa vipimo
 
Ile post yenyewe ndo hii maafande
IMG_20200326_160106_375.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom